Nimemsamehe Hayati Magufuli

Uwezekano wa JPM kuwa Mbinguni ni mdogo kutokana na matendo yake mabaya mengi. Pamoja na kwamba tunafahamu alihangaika sana dakika za mwisho kujipatanisha na Mungu, tunajua alijawa zaidi na hofu ya mauti kuliko hofu ya Mungu.

we nae lala ukue



DIKTETA magufuli mzinguaji tu. FASHISTI , John mad dog 🐕

Yaani kipindi cha JPM,mtu akampige Lissu risasi,tena nyingi,apate na muda wa kutoa hadi CCTV,asikamatwe?
Tena JPM akubali kubeba lawama,huku yeye hajui chochote,wahuni waliofanya tukio,wawe wanatamba tu?
Sidhani.

Kamwe makosa ya upinzani hayawezi kufuta makosa ya Jonh
Kama alikuwa mtu mzuri atabaki kuwa mzuri na kama alikuwa mbaya atabaki hivyo.

Tatizo ni kwamba alishaenda motoni hivyo sala zako hazitamsaidia kituu😁
 
Hivi huwa inakuaje Mpka yatokee yakutokea ndio mtu ugundue kitu flani ni kizuri au kibaya?

Sio makosa yako ila watz waliowengi hawana Jicho la kuona Mtu mzuri na kumkubali angali mapema.

Ni either mpka afariki au kipindi chake kipite,ila kwa Waliomjua JPM hata kabla hajawa RAIS

yani ile kusikia tu Jina lake limeingizwa ktk List ya wagombea Urais walishajua Huyo ndie Rais na ni Rais mara 5.

Ki ufupi Hamna asie na mapungufu kama mwanadamu ila unapoongelea Marais wazalendo wa hii nchi Tangu Nchi ipate uhuru ni Mwalimu na JPM tu, hao wengine wote nawaita MARAIS ila sio wazalendo.
 
Yepi hayo uliyoyaona kwa wapinzani?

Sent from my SM-A260F using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…