Nimempa mimba mama Mjamzito

Mtu mjamzito wewe unampaje mimba nyingine??

Sent using Jamii Forums mobile app
 
kwa hiyo hapo ukitaka kufanya abortion itatoka mimba ya kwanza au ya pili??
 
Ni hiyo hiyo ya mwanzo labda wewe umeongeza miguu au mikono huwezi jua.

Afadhali kama tayari alikuwa na ubongo, maana akichukua wa kwako mtoto atakuja kusumbua sana mjini.
 
BREAKING: Mnyama Simba SC apangiwa na wababe wa DR Congo, TP Mazembe robo fainali ya klabu bingwa Afrika
 
Kazi kwelikweli, wewe Zero IQ bado hujaoa tu? unahangaika sana simama njia kuu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…