Nimempa dawa bila ridhaa yake

Wavulana wanaita mbio ndefu.....[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13]
Acha kabisa komredi, haya mambo ukiyaendekeza sana utapata shida, we Fanya kwa kadiri ya uwezo wako mengine waachie porn stars.
Mara utasikia sipendi wa dk 2 na huku utasikia anakwambia hakuna kitu kitamu kama Quicky. Hivi kuna quick ya 60 min?
 
Comrade......
Ebu acha wavulana waendelee kupewa chai zinazo chujwa kwa [emoji160] ........ ndipo akili itawakaa sana......
 
Hivi vijana wa kiume wa siku hizi wanashida gani? Sisi wa 40 tunauwezo wa kupiga mpaka bao nne na enzi tulivyokuwa kama ninyi usiku kucha kwa mtu mpya unapiga hadi 7-8 bila dawa. Poleni sana

Unaweza ukawa unapiga bao nyingi lakini za kuku,mimi tatu lakini lazima kesho atafute jua lilipo
 
Hahaaa. Pole sana aiseee. Itabidi nianze kucomment kichaichai kama usemavyo best.

Vp lakini kwema huko best?
Tunakupenda ujue best, wee huoni tunavojazana kuwe LIKE kwako, teh!!

Huku kwema kabisa best, hope nawe uko poa
 
Tunakupenda ujue best, wee huoni tunavojazana kuwe LIKE kwako, teh!!

Huku kwema kabisa best, hope nawe uko poa
Hahaaa. Kweli kabisa best na nimejidhihirishia mwenyewe [emoji85] sababu nimezipata zakutosha. Teh teh teh.

Mie sijambo pia namshukuru Mwenyezi Mungu niko salama kabisa.

Ahsanteni sana kwa kunipenda. [emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120]
 
Wewe jamaa rudi kwenu ukalime huwezi mpata mtu kwa staili hiyo....
 
Vyakula vya asili ni vingi vinavyoondoa hilo tatizo. Asali pia inahusika
 
Wa kwanza yule alikua anafika dakika ad 30 lakini hyu ye mwisho nne tu..ko alivofikisha hizo 18 niliona ni surprise kubwa kwangu
Sasa kwanini mliachana? Au ndio mkataa pema?
 
Umelipia tangazo mkuu....
 
Hahaaa. Kweli kabisa best na nimejidhihirishia mwenyewe [emoji85] sababu nimezipata zakutosha. Teh teh teh.

Mie sijambo pia namshukuru Mwenyezi Mungu niko salama kabisa.

Ahsanteni sana kwa kunipenda. [emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120]
Pamoja sana best[emoji122] [emoji122]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…