Nimempa dawa bila ridhaa yake

Hivi ni kweli hili tatizo lipo kwa vijana wa sasa? Kuwa ni kubwa kwa kiasi hicho? au wanaigiza tu hadithi humu
 
Ahaaa kumbe ndo unataka hivo ntakuwa nagonga vagrant vidonge 2 napiga game mpaka asubuhi sija...oa hapo ndo utajua faida ya hiyo midawa
 
Mie najua hunioni basi best. [emoji85] [emoji85]

Muda mwingine naona nyingi ni chai best hivyo natoa like halafu nasepa zangu. Hahaaaa.
Hahaaaa nakuona vizuri best, notifications zinanijia, ndo then napata hamasa ya kutafuta comment yako, nakuta holaaaaa!!

Hata kama chai nawe tia comment ya kichai chai best, teh! ilimradi siku ziende
 
Hahaaaa nakuona vizuri best, notifications zinanijia, ndo then napata hamasa ya kutafuta comment yako, nakuta holaaaaa!!

Hata kama chai nawe tia comment ya kichai chai best, teh! ilimradi siku ziende
Hahaaa. Pole sana aiseee. Itabidi nianze kucomment kichaichai kama usemavyo best.

Vp lakini kwema huko best?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…