Nimempa dawa bila ridhaa yake

umeanza mbali mara kunywonywa kipochi manyoya mara sijui nini ila umesahau kuweka namba ya mmasai au tukufuate pm?
 
Nimekusamehe baby wangu.....
Leo pia nitawahi kurudi uniwekee hiyo chai kama ya jana.....[emoji39] [emoji39] [emoji39]
 
Yote haya ndani ya miezi miwili tu? Duh kweli mambo bambam.....sasa chupa ya chai ukaiweka bafuni hakushangaa? mbona ulimtega kitoto sana???
 
thread ya kwanza jf unapost ngono du kweli nchi ya viwanda ngoja niende china nikawaletee sex toys labda nitatokea hapo
 
Yani apo ndio unamuua kabisa, atakua hafanyi mpaka umpe dawa milele
 
Aisee, ila bibie hiyo chai huko bafuni uliitoaje toaje ukapeleka mezani?
Hakuiona ulivyokua umeificha huko bafuni?
Anyway Fanya basi mpango unipatie namba za huyo Mmasai au jina la dawa na mimi nimix na vumbi la Kongo huenda na mimi nikafika dk 60.
 
Kwanini upambane na gari bovu na yadi magari mapya yapo? Chukua hatua mbeleni kidogo tu mtashindwana. Mwanamke kwa mwananume anahitaji sex ya haja na pesa for her basic needs ila ukipungukiwa na pesa bora kuliko nguvu za kiume.
 

Hivi vijana wa kiume wa siku hizi wanashida gani? Sisi wa 40 tunauwezo wa kupiga mpaka bao nne na enzi tulivyokuwa kama ninyi usiku kucha kwa mtu mpya unapiga hadi 7-8 bila dawa. Poleni sana
 
Miezi miwili tu tayari wachumba? Ulikosa sehemu ya kuficha Chai hadi ufiche Bafuni?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…