Nimempa dawa bila ridhaa yake

haki ya mungu we mdada y usimshirikishe kuliko kufanya ulichomfanyia
Nimemshauri Mara nyingi sana nimsindikize hospitali akapate tiba lakini hataki kabisaa unasema ye yuko fiti wakati Mimi naona hayuko fiti kabisaa, nikimshauri hata kufanya mazoezi hataki kabisaa kusikiaa, wakati yule mpenzi wangu alikua anapenda mazoezi na sometimes tulikua tunaenda wotee yeye huyu anapenda sigara na mikonyagi tu.
 
Chai jabaa!![emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Wa kwanza yule alikua anafika dakika ad 30 lakini hyu ye mwisho nne tu..ko alivofikisha hizo 18 niliona ni surprise kubwa kwangu
Sasa utakuwa unamuwekea dawa kila siku au kuna plan b
 
Mwanaume bora usemwe kwamba huhongi, lakini sio eti humfikishi mwanamke
 
Ngoja sie wagonjwa tunao kuna papachu kwa dk 60 bila dawa tukae kimya baana bahati mbaya tukiwekewa hizo dawa tunaweza sugua kwa masaa kumi nonstop
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…