Kweli ni maskhara, lakini kwanini tunapoteza muda wetu? Unasoma jibu la kwanza na hutaki kuondoka unaendelea na lapili, latatu, etc....majibu are so sweet, unabakia kucheka tu!
Watanzania kweli sisi ni watu waajabu sana!
Mzee mwenzangu katu-lubuva na bado tunacheka tu!