Kwa macho yangu mawili bila miwani nimemshuudia mke wangu akitoka guest house, kupitia dirisha la guest ambalo Mimi nilikua ndani ya guest hiyo alitoka pekee now nipo home hivi nilianzishe au ninyamaze.
kwa macho Yang mawili bila miwani nimemshuudia mke Wangu akitoka guest house.kupitia dirisha la guest ambalo Mimi nilikua ndani ya guest hiyo alitoka pekee now nipo home hivi nilianzishe au ninyamaze
Na wrwe ci ulikuwa na mke wa yule jamaa aliyekuwa naye? Walijua mpo pale ndio wakawa wanasepa kusevu soo kumbe uliona??? Aisee mechi droo. Siku ingine msitoe draw tunataka mwisho wa mwaka mmoja wenu aibuke mshindi achukue golden ball. Nyambaf..........
Hiyo GUEST HOUSE nadhani ipo uswazi sana yani hadi mtu anaweza pitia dirishani!? Anyway usilianzishe kwa kuwa nyote mmechepuka hata kama mwenzaka hakukuona.
Na mila ya mkeo ikoje? Babu kaowa wewe ulikwenda kuchepuka. Hapo naona mkeo na yeye kenda kufanya mazowezi ugenini lakini mechi ipo ndani leo. Jitayarishe na game kali