wana jf habarini za muda!!
bwana mi nipo kwenye uhusiano na bint fulani tangu 2007 inshort alinitokea ckua nimempenda kiviiile sema nikazidiwa na mapenzi yake.nikawa chuo dsm yeye arusha.kamaliza mwaka huu na ameshapata kazi somewhere-accountant!!...siku za hivi karibuni nimetokea kumbadilikia sana hata kufikia kutaka kusitisha uhusiano wangu mimi na yeye..sababu kubwa ni mapenzi kwake kuisha kabisa...mbaya zaidi nikiongea nae haizidi 1 minute sina hamu nae tena,akija kwangu hatutaongea cha maana ataondoka..
Nimejaribu kuyafikiria maisha ya km baba na mama naona itakua ngumu...ni binti ambaye kwa kweli anaonekana anajitunza..hajawahi kuninyesha cheating yeyote wala kusikia.
Nakerwa zaidi na jins ambavyo yupo serious sana pia hanipi ile hapness km mtoto wa kike....sina uhusiano mwingine kwa sasa..ila ni zaidi ya wik 3 sitaki kuonanna nae...
Pia ana tabia ya kujiproud/kujisifia kitu ambacho cpend,,,na ana asume cwez mwacha sababu ya elimu yake...na kazi yake
nishaurini....nipige chini mazima nianze upyaa?
Una wenge na tamaa ya wanawake na hata kama utamtafuta mwingine yatafuata hayohayo na hautadumu na mwanamke wa kuoa labda kama kweli unataka ushauri nitashauri kwa uzoefu wangu kama ifuatavyo.
1. Huwa hakuna mwanamke mbaya wa kuishi
naye maisha ya ndoa inategemea wewe
umejipanga namna gani kuhusu ndoa yako una mcontrol vile unavyotaka UTAMPENDA BURE.
2. Mpe nafasi na angalia madhaifu
yanayochukulika maana kila mtu ana
mapungufu na huenda yako ni makubwa kuliko yake.
3. Lazima ujue kuwa katika maisha ya ndoa nyingi
kuna wanawake wa kuishi nao na na wanajua
nini maana ya familia na wamekomaa kiakili
yaani mwajibikaji kwako na jamii yote.
4. Na kuna warembo ambao unawataka wewe
ambao na ukitoka nao kila mtu anakupa zako
tano lazima washikaji zako wammege na
wengineo nk.
5. Kifupi uzuri na ubora wa mwanamke
unategemea sana tabia yake ila kama unatafuta
demu wa kumega hiyo ni issue nyingine na tena
unaweza kupata mwanamke balaa mara tano
ya huyo na ukashindwa kumrudia huyo TULIA