nimem'badilikia gafla-sijisikii kumuoa tenai!!

mkonowapaka

JF-Expert Member
Feb 19, 2010
1,493
767
wana jf habarini za muda!!

bwana mi nipo kwenye uhusiano na bint fulani tangu 2007 inshort alinitokea ckua nimempenda kiviiile sema nikazidiwa na mapenzi yake.nikawa chuo dsm yeye arusha.kamaliza mwaka huu na ameshapata kazi somewhere-accountant!!...siku za hivi karibuni nimetokea kumbadilikia sana hata kufikia kutaka kusitisha uhusiano wangu mimi na yeye..sababu kubwa ni mapenzi kwake kuisha kabisa...mbaya zaidi nikiongea nae haizidi 1 minute sina hamu nae tena,akija kwangu hatutaongea cha maana ataondoka..

Nimejaribu kuyafikiria maisha ya km baba na mama naona itakua ngumu...ni binti ambaye kwa kweli anaonekana anajitunza..hajawahi kuninyesha cheating yeyote wala kusikia.

Nakerwa zaidi na jins ambavyo yupo serious sana pia hanipi ile hapness km mtoto wa kike....sina uhusiano mwingine kwa sasa..ila ni zaidi ya wik 3 sitaki kuonanna nae...
Pia ana tabia ya kujiproud/kujisifia kitu ambacho cpend,,,na ana asume cwez mwacha sababu ya elimu yake...na kazi yake

nishaurini....nipige chini mazima nianze upyaa?
 
mtemee kapuni kavp,.othrwz utaja divorce..vp lakn hadi hamu ya kula mzgo nae imepotea?
 
hakuna cha jini mahaba wala nini.....kama ujisikii epusha msongamano....usijejizulia marazi bure hapo baadae
 
duh peaneni break kwanza,
mkirudiana mtakuwa mmemisiana
 
wana jf habarini za muda!!

bwana mi nipo kwenye uhusiano na bint fulani tangu 2007 inshort alinitokea ckua nimempenda kiviiile sema nikazidiwa na mapenzi yake.nikawa chuo dsm yeye arusha.kamaliza mwaka huu na ameshapata kazi somewhere-accountant!!...siku za hivi karibuni nimetokea kumbadilikia sana hata kufikia kutaka kusitisha uhusiano wangu mimi na yeye..sababu kubwa ni mapenzi kwake kuisha kabisa...mbaya zaidi nikiongea nae haizidi 1 minute sina hamu nae tena,akija kwangu hatutaongea cha maana ataondoka..

Nimejaribu kuyafikiria maisha ya km baba na mama naona itakua ngumu...ni binti ambaye kwa kweli anaonekana anajitunza..hajawahi kuninyesha cheating yeyote wala kusikia.

Nakerwa zaidi na jins ambavyo yupo serious sana pia hanipi ile hapness km mtoto wa kike....sina uhusiano mwingine kwa sasa..ila ni zaidi ya wik 3 sitaki kuonanna nae...
Pia ana tabia ya kujiproud/kujisifia kitu ambacho cpend,,,na ana asume cwez mwacha sababu ya elimu yake...na kazi yake

nishaurini....nipige chini mazima nianze upyaa?

Mdogo wangu...

Mara nyingi sana ujana na kiu vinatusumbua sana na tunaishia kuchukua mtu (na hasa tukiwa college) ili tuwe kama wenzetu au tuwe tunakata kiu. Huyo binti ana bahati mbaya sana kwani umeanza kwa kusema hukumpenda sana ila baadae ulikolea, binafsi nahisi hukukolea ila hukua na alternative

Maadam umeamua kumchoka, mie nina mawili tu

  1. Mpe nafasi wengine wamuone, wampende na wamchukue, ila usilie yakitokea
  2. Jipe break utafakari ujue unataka nini

Mwisho kabisa, usimchezee maana bado mbichi na ana future kama wewe ulivyo na future
 
Mweleze ukweli ili ajipange upya maana kikubwa hapo humfeel kutokana na maelezo yako kuwa uliingia kny uhusiano baada ya uzalendo kukushinda,ila wakati mwingine hakikisha unaingia kny uhusiano moyo wako ukiwa umeridhika ili usimuumize mwenzio na wewe pia uweze kufurahia.
Kila la kheri
 
mchinjie baharini kama vipi! manake mpaka kumleta humu inaonesha jinsi gani issue umeikinai!
 
saa nyingine ni borea umejisikia hivyo sasa kabla hata hamjaoana ........
kwani kuwa na mtu kwa muda mrefu haimaanishi unajua kila kitu kuhusu huyo mtu
At the end of the day u need to be happy and she need to be happy to...
na hayo mambo yakuchanganya Elimu,kazi na Mapenzi hayo hayafai kabisa hayo....
 
They say ......Listen to you heart........ kama hum-feel tena what is the point ............chapa lapa sio riski hiyo! Better now than later
 
Pole sana Maisha ya ndoa inabidi uishi na mtu unaempenda kwa dhati la sivyo ujajilaumu ningejua ningejua ..
Mwambie ukweli bado ana nafasi na ww una nafasi ya kuishi kwa furaha,
 
wana jf habarini za muda!!

bwana mi nipo kwenye uhusiano na bint fulani tangu 2007 inshort alinitokea ckua nimempenda kiviiile sema nikazidiwa na mapenzi yake.nikawa chuo dsm yeye arusha.kamaliza mwaka huu na ameshapata kazi somewhere-accountant!!...siku za hivi karibuni nimetokea kumbadilikia sana hata kufikia kutaka kusitisha uhusiano wangu mimi na yeye..sababu kubwa ni mapenzi kwake kuisha kabisa...mbaya zaidi nikiongea nae haizidi 1 minute sina hamu nae tena,akija kwangu hatutaongea cha maana ataondoka..

Nimejaribu kuyafikiria maisha ya km baba na mama naona itakua ngumu...ni binti ambaye kwa kweli anaonekana anajitunza..hajawahi kuninyesha cheating yeyote wala kusikia.

Nakerwa zaidi na jins ambavyo yupo serious sana pia hanipi ile hapness km mtoto wa kike....sina uhusiano mwingine kwa sasa..ila ni zaidi ya wik 3 sitaki kuonanna nae...
Pia ana tabia ya kujiproud/kujisifia kitu ambacho cpend,,,na ana asume cwez mwacha sababu ya elimu yake...na kazi yake

nishaurini....nipige chini mazima nianze upyaa?

mie nadhani jibu unalo,
kuendelea kuwa naye ni kumkosesha dada wa watu chances za kumpata Mr right....:doh:
 
wana jf habarini za muda!!

bwana mi nipo kwenye uhusiano na bint fulani tangu 2007 inshort alinitokea ckua nimempenda kiviiile sema nikazidiwa na mapenzi yake.nikawa chuo dsm yeye arusha.kamaliza mwaka huu na ameshapata kazi somewhere-accountant!!...siku za hivi karibuni nimetokea kumbadilikia sana hata kufikia kutaka kusitisha uhusiano wangu mimi na yeye..sababu kubwa ni mapenzi kwake kuisha kabisa...mbaya zaidi nikiongea nae haizidi 1 minute sina hamu nae tena,akija kwangu hatutaongea cha maana ataondoka..

Nimejaribu kuyafikiria maisha ya km baba na mama naona itakua ngumu...ni binti ambaye kwa kweli anaonekana anajitunza..hajawahi kuninyesha cheating yeyote wala kusikia.

Nakerwa zaidi na jins ambavyo yupo serious sana pia hanipi ile hapness km mtoto wa kike....sina uhusiano mwingine kwa sasa..ila ni zaidi ya wik 3 sitaki kuonanna nae...
Pia ana tabia ya kujiproud/kujisifia kitu ambacho cpend,,,na ana asume cwez mwacha sababu ya elimu yake...na kazi yake

nishaurini....nipige chini mazima nianze upyaa?

Una wenge na tamaa ya wanawake na hata kama utamtafuta mwingine yatafuata hayohayo na hautadumu na mwanamke wa kuoa labda kama kweli unataka ushauri nitashauri kwa uzoefu wangu kama ifuatavyo.
1. Huwa hakuna mwanamke mbaya wa kuishi
naye maisha ya ndoa inategemea wewe
umejipanga namna gani kuhusu ndoa yako una mcontrol vile unavyotaka UTAMPENDA BURE.
2. Mpe nafasi na angalia madhaifu
yanayochukulika maana kila mtu ana
mapungufu na huenda yako ni makubwa kuliko yake.
3. Lazima ujue kuwa katika maisha ya ndoa nyingi
kuna wanawake wa kuishi nao na na wanajua
nini maana ya familia na wamekomaa kiakili
yaani mwajibikaji kwako na jamii yote.
4. Na kuna warembo ambao unawataka wewe
ambao na ukitoka nao kila mtu anakupa zako
tano lazima washikaji zako wammege na
wengineo nk.
5. Kifupi uzuri na ubora wa mwanamke
unategemea sana tabia yake ila kama unatafuta
demu wa kumega hiyo ni issue nyingine na tena
unaweza kupata mwanamke balaa mara tano
ya huyo na ukashindwa kumrudia huyo TULIA
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom