jamani nitairudisha basi lol!gfsonwin, Pengine vyuo vikifunguliwa post za kitoto zitapungua humu...
Out of topic.....your previous Avatar PLZ...
umejiuliza mko wangapi? Na ukimwi je? Kumbuka ukipanda zinaa utavuna humo humo uharibifu. Haya ni mambo ya kizamani sana na ni story za teens hizi!!!!
Hizi ndio akili za watu wa chadema, mnasema kitu gani wakati bosi mkubwa nae alianza hivihivi na juzi kaamua kuchukuwa jiko moja kwa moja, UZINZI UZINZI chadema mtaacha lini, kuanzia mabosi mpaka wapiga kura wake ! puuuuu!
Mkuu, kumla mke wa polisi si kujisifu maana waume zao mtandao ni mkubwa sana!!! Huwa kabla hujachemka na mke wa mtu chunguza mumewe ni wa calibre/status ipi? Hata hivyo mambo ya tulizana yameshaingia akilini mwako? Pale mko wangapi? Halafu wewe mleta mada usitake kuchafua CDM hawana historia hii, Na ingekuwepo ungekuta TBC1 wameshairusha. Haya mambo yako huko kwa wanaofumaniwa na wake za watu, kwa kina ustadhi. I doubt if you are a serioous CDM don!!!!Naam wadau,j2 iliopita muda wa saa wakati natoka hme kuingia katikati ya jiji la Tanga,Barabarani nikakutana na mdada mrembo haswa,nikasimama bila kusimamishwa na kumpa lift cos alikuwa anaelekda mjini ,ktk kufaamiana akaniambia ni mke wa polisi amekuja likizo hme kutokea mkoa fulani na kidoleni kuna utambulisho kuwa ni maried .Chinga sikushangaa nikamwonyesha kuwa n ni mtoto wa Tandahimba, nikatupia vocal akingiza chorus na j3 nimemla kwa hasira ili kulipa kisasi kwa mabomu wanayotupiga waume zao ktk M4C. People....s
Wakati mwingine huwa naamini ni bora kuishiwa pesa kwani unaweza kukopa kuliko kuishiwa hoja!
The difference is the similarity mkuu!mwanaume wa kweli hutumia dume. So osihofu