Kuna kitu unachotakiwa kuelewa
Chinga boyni kuwa hapa kwenye forum ni sehemu ya kuelekezana njia sahihi na salama za kuishi na wapendwa wetu au namna bora ya kuishi kwenye jamii. Watu kukushambulia haina maana hawafanyi..inawezekana wanafanya na wana 'conscience gulty'..na hii haimundolei mtu uwezo wa kumuelekeza mtu mwingine jambo jema. Hata kama ulikuwa kilaza shuleni bado unao uhalali wa kumshauri mwanao ili ajibidishe kimasomo...haijalishi sana na ukilaza wako!
Wakti mwingine jitahidi ulete uzi unaolenga kusahihisha au kukosoa matendo mabaya na sio kuhimiza ngono..lol