BROKE BOYS
JF-Expert Member
- Jan 12, 2019
- 13,218
- 39,048
Kunywa maji ya betri kabla na baada ya kuonana Na mpenzi wako hii hali itaisha kwakoBrothers and sisters habar zenu, Bila kupoteza muda wacha nende direct kwa topic. Toka nianze mahusiano na gal mpya tuna 7months now kila tukikutana ni mwendo wa romance daily na almost tunakutana kila siku
Na ni deep romance sometimes naweza sex nae kma romance zikikoleaa, I hate this of course ndomana nmekuja kwenu mnipe msaada na ushauri ili niweze kujizuiaa na hili coz nmekuwa addicted sana huwa sijali tupo sehem gani.
Nimetembea na madem tofauti but hyu hta sijui why inakua hivii sometimes hta yeye gal huwa anafeel kbsa but ananishauri isiwe daily lakin ndo sisikii wala sielew.
Nataka niweze kujicontrol coz sijawai kuwa hivi nmeona nakokwenda siko kabisa ndugu zangu.Nifanyaje nirud kwenye normal condition??
Sent from my iPhone using JamiiForums
Una umri gani
2019 hatua 1 yenye mafanikio zaidi
Kunywa maji ya betri kabla na baada ya kuonana Na mpenzi wako hii hali itaisha kwako
Zero IQ
Kikubwa mwambie akuwekee kwenye kikombe mpk uyakinai mwenyewe mkuu
Sent using Jamii Forums mobile app
Uvinza unaenda lakini??
mnajishughulisha na nini ili kupata mkate wenu wa kila siku?.
Mnajitegemea au bado mpo kwa wazazi?.
Sent using Jamii Forums mobile app
Weka mafuta ya taa kwenye chakula chako...itasaidia kupunguza nyege
Sent using Jamii Forums mobile app
Mdogo wangu shule umemaliza? Iweje mkutane kila Siku? Huna hata kazi?23 mkuu
Sent from my iPhone using JamiiForums