Cash Generating Unit
JF-Expert Member
- Jan 12, 2019
- 13,284
- 39,512
Nimemkuta Ex wangu 'Anajiuza' roho imeniuma sana
Weekend hii iliopita kwenye misele yangu ya usiku nilipita viwanja fulani maarufu kwa kutembelewa na wazungu wengi sana. Nilipofika hapo katika kuangazaangaza kwenye kona fulani nikaona msichana ambae alinivutia sana. Nikawa napanga mikakati nimuingieje. Baada ya kumtupia jicho nikahisi kama...www.jamiiforums.com
Co incidence au hahahaNimemkuta Ex wangu 'Anajiuza' roho imeniuma sana
Weekend hii iliopita kwenye misele yangu ya usiku nilipita viwanja fulani maarufu kwa kutembelewa na wazungu wengi sana. Nilipofika hapo katika kuangazaangaza kwenye kona fulani nikaona msichana ambae alinivutia sana. Nikawa napanga mikakati nimuingieje. Baada ya kumtupia jicho nikahisi kama...www.jamiiforums.com
LWakuu habr zenu...
Jmosi nilikwenda pale Elements kwa ajili ya kupunguza stress za mishemshe za hapa mjini, mara nyingi huwa nakuwa na wahuni. Ile kufika pale parking daah sikuamin kumwona demu wangu tulioachana 2017 anajiuza pale elements.
Wakuu niliumia sana ukitegemea huyu dada kwao wapo vizur hawana maisha ya shida, pia ni mzuri huyu dada. Baada ya kugundua yeye niliamua kum-follow first alijua me mteja baada ya kunijua akaanza kushout out na kunitukana sana wenzake hao wakanza nishushia maneno, nikachoma zangu ndani.
Wakati wa kusepa nilijitahidi sana kumtafuta lengo nijue anashida gani mpaka kuanza kujiuza but sikufanikiwa hakwepo.
Mpaka sasa najiuliza sana sipati majib aisee kweli dunia inazunguka na inakwenda kasi sana wakuu.
Wakuu habr zenu...