Vichekesho
JF-Expert Member
- Mar 28, 2024
- 468
- 970
Leo nimekuja kutembea Morogoro, cha ajabu kuna mbu nawaona hapa wananing'ata kisha wanaanguka chini, wanakuwa kama wamelewa chakari.
Kitaalamu hii inaitwaje? JamiiCheck fanyeni utafiti mje na jibu ili kunusuru maisha ya hawa viumbe.
😂😂😂Leo nimekuja kutembea Morogoro, cha ajabu kuna mbu nawaona hapa wananing'ata kisha wanaanguka chini, wanakuwa kama wamelewa chakari.
Kitaalamu hii inaitwaje? JamiiCheck fanyeni utafiti mje na jibu ili kunusuru maisha ya hawa viumbe.
Konyagi ni kitu gani?mkuu umesahau konyagi uliokunywa saa 5 bado unafanya kazi..?
Konyagi ni kitu gani?mkuu umesahau konyagi uliokunywa saa 5 bado unafanya kazi..?
SawaWeka video
Damu yako isiende bure wakulipe posho@JamiiCheck fanyeni utafiti mje na jibu ili kunusuru maisha ya hawa viumbe
Okay okayKimsingi una ngozi damu chafu na ngumu wanavunjika majino na kufa papo hapo.
AsanteHiyo ndo damu ya kunguni sasa, hongera
duh wee mzee usikute damu yako inaweza kuzalisha hata umeme na hujasanuka tu, una kimtaji we jamaa ila hujui tu.Leo nimekuja kutembea Morogoro, cha ajabu kuna mbu nawaona hapa wananing'ata kisha wanaanguka chini, wanakuwa kama wamelewa chakari. Kitaalamu hii inaitwaje?
JamiiCheck fanyeni utafiti mje na jibu ili kunusuru maisha ya hawa viumbe.
Kwanini Ifakara ni kawaida mkuu?Sawa
Kama ni ifakala ni kawaida hiyo
Bite an' die suciedoo.Leo nimekuja kutembea Morogoro, cha ajabu kuna mbu nawaona hapa wananing'ata kisha wanaanguka chini, wanakuwa kama wamelewa chakari. Kitaalamu hii inaitwaje?
JamiiCheck fanyeni utafiti mje na jibu ili kunusuru maisha ya hawa viumbe.