NIMEKUFA, NIMEOZA KWA LIZZYMIND "LizzY"

Ntafuata ushauri shem!Naomba unifikishie ujumbe kwa baba mchungaji wangu...tell him I miss him like crazy...ana I love him so...so!

Usikonde shem jamaa anakula bata sana huko! Nimeongea naye anasema vile vile anakumiss kama Mlinzi anavyo miss usingizi
 
Wengine wanapenda uchochoroni..wengine kwenye uwazi!Tatizo liko wapi?

Naam naona Lizzy kichwa kinaanza kujaa, sawa basi umpendwaaaaaa!!!!!!, kawaida mtu akipendwa, huji hisi kama uko mbingu ya saba!!!!!!!!!!!
 
Naam naona Lizzy kichwa kinaanza kujaa, sawa basi umpendwaaaaaa!!!!!!, kawaida mtu akipendwa, huji hisi kama uko mbingu ya saba!!!!!!!!!!!
Hahahahaha!Sasa nisivimbe bichwa vipi na mtoto wa kike nimependwa mpaka mwisho wa kupendwa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…