Nkurukumbi
Senior Member
- Sep 6, 2013
- 196
- 78
Kuolewa na mtu aliyejenga negativity juu ya jinsia ya kike ni kujifukia ndani ya kaburi
nkurukumbi nkurukumbi niyo yazaile mayenje.
ulishawahi kuoa??? una watoto wangapi? umri wako??? umefanya kazi kwa miaka mingapi?
Nilitendwa sana nikawachukia wanawake nikaapa sitaoa tena. Lakini kutokana na mastress ya maisha, kazi na ushauri wa ndugu, jamaa na marafiki nimeona nimtafute wa kumuoa kwa kuanzia hapa jamii forums. awe na umri 28 kwenda chini, elimu ya chuo chochote, awe Dar es salaam au mikoa jirani. aliye tayari njoo pm.
Hatuna tofauti. Ila mie tayari na naenjoy kabisa japo uvumilivu ni muhimu.
Pole na hongera mkuu
Kila la heri, ila jichanganye sehemu mbalimbali. Mfano kwa semina za vijana zinazofanyika maeneo hayo, nyumba za Ibada, etc
Kuolewa na mtu aliyejenga negativity juu ya jinsia ya kike ni kujifukia ndani ya kaburi
Well said