chiqutitta
JF-Expert Member
- Nov 13, 2015
- 1,160
- 3,125
Sawa ahsante ngoja nisubiri hiyo keshoPiga kesho muda wa kazi watapokea. Uzuri pesa ipo kwenye akaunti yako. Na azam ni waungwana sana watakurudishia pesa yako. Don't panic
Mh hela ina bajeti yake ni vile tu nilikuwa nimevurugwaNdugu mteja Hujakosea utakaa miezi 10 bila kulipia
Asante.
Kitu pekee ambacho nina uhakika nacho ni HELAAA HAIRUDIII...!!Sawa ahsante ngoja nisubiri hiyo kesho
Dah king'amuzi chenyewe nimemlipia mtuSina uhakika sana lakini kwa ninavyojua mtu hukatwa kulingana na kifurushi alichojiunga, anything extra inabaki kama pocket money...
Habari zenu jamani....
nimelipia Azam kwa kukosea, badala ya 25000 nimelipia 250000,.
msaada wenu niwapigia huduma kwa wateja hata haipokelewi.
Bora hata kingekuwa changu nimemlipia mtuKitu pekee ambacho nina uhakika nacho ni HELAAA HAIRUDIII...!!
π€£π€£π€£π€£π€£Ndugu mteja Hujakosea utakaa miezi 10 bila kulipia
Asante.
Ndugu mteja hata sisi tumeingiza kwenye bajet zetuMh hela ina bajeti yake ni vile tu nilikuwa nimevurugwa
Si useme tu mtu ndio nini kwani wife anaujua upo jfBora hata kingekuwa changu nimemlipia mtu
Hata sijakuelewa!Si useme tu mtu ndio nini kwani wife anaujua upo jf