Sina majibu ya maswali yako ila kwakua ww ni kijana wa kiume zipo fani za kusoma zenye kipato kikubwa.
Unaweza kusomea heavy duty machine ukawa operator na kutengeneza pesa nzuri tu hasa ukijua mashine kuanzia mbili mpaka tatu....
Nina bachelor degree ya ualimu ila nimeachana nayo na kuamua kubadili fani.