UMASIKINI BWANA
JF-Expert Member
- Oct 17, 2013
- 942
- 566
Weka picha.maana hadith ya humu kuna wakati ni kamba.Dua Zenu Jf Nimezingirwa Na Yange Yange Hapa Kosa Kopi Ya Leseni Origional Nimeisahau Home Totoo Nyeupe Ya Kipare Imenuna Tuna Nusu Robo Saa Dua Zenu Great Thinkers.Discovery Inanguruma Pembeni Ya Barabara.
Kutokuwa na leseni mkononi ni kosa lakini siyo
la kukamatwa muda huo huo.Dereva anaruhusiwa kuwasilisha leseni
sehemu yoyote atakayopangiwa na trafiki ndani ya masaa 72
na si vinginevyo. Usipowasilisha watatumia details za gari
kukutafuta na ukikamatwa sasa hilo ni kosa.
kama wanakuzingua omba namba ya kamanda Mpinga.
Labda kama umewatolea lugha mbaya hiyo
ni kosa la jinai lakini kusahau leseni
siyo kosa kivile.
Kopi zote lazima ziwe satified na ofisa wa TRA
siyo unajitolea kopi hata ile ya kadi ya gari
lazima ithibitishwe na TRA.
Ndo maana huyu anaangukia kwenye funguGood uko vizuri lazima copy isibitishwe lakini copy ya driving license hakuna at a MTU mmoja aliye izinishiwa d/license hata ukiwa unaomba kazi lazima upeleke copy na original kwa mwanasheria au HAKIMU asaini hizo copy na kugonga muhuri
Kwan sheria inakutaka ubebe reseni ya udereva au nakala tu?Dua Zenu Jf Nimezingirwa Na Yange Yange Hapa Kosa Kopi Ya Leseni Origional Nimeisahau Home Totoo Nyeupe Ya Kipare Imenuna Tuna Nusu Robo Saa Dua Zenu Great Thinkers.Discovery Inanguruma Pembeni Ya Barabara.
good tunataka watu wenye majibu ya kueleimisha kama wewe,,,sio watu wanajibu taarabu tu,,,barikiwa nimepata somo...Kutokuwa na leseni mkononi ni kosa lakini siyo