Unajua kuwa hata NO SMOKING ni kwa non smokers only. kwa hiyo walio chaputa huwezi kuwatisha ni hivyo vimaneno vyako vya destructive, hapo utawapata non chaputa tu.
ile kitu huwezi kuacha kirahisi kama unavyofikiria, ngoja wakubandulie huyu mpare wako utarudi mwenyewe, chaputa inakutoa katika msongo wa mawazo ya kuhonga na matumizi yasiyo ya lazima