Wapendwa nisaidieni nimeibiwa simu ambayo mpaka sasa iko hewani mtu anapokea na haongei na akiongea ananizungusha tu,je kuna jins navoweza track kwa kutumia iyo namba ya simu ?maana emai namba yake sikua nayo

Kuwa hewani SIM CARD sio kigezo cha kupata simu yako ,isije ikawa alieiba simu alitupilia mbali SIM CARD alafu "Mlugaluga" mmoja aliokota anatesti mitambo,ndo maana aonge na akiongea aeleweki!..

Piga simu Call center wape taarifa ili waweze kuiblock hiyo laini otheyc inaweza commit cyber crime na ukakamatwa wewe au ikatumika kuwatapeli ndugu au jamaa zako...!