Nimeibiwa ID identity

W
Unaonaje mtu akitumia picha yako Mamndenyi ?
we una akili hazipo sawa
Wewe hiyo ni picha yako
Yaan kwa mfano km mm natumia AVATAR ya WOODY COW BOY wa toy story

Sasa atokee mtu mwingine humu aamue kutumia picha ya WOODY COWBOY then nianze kulalama kaiba picha yangu serious kweli
Labda unafanya JOKE ama sivyo hutakuwa hauko sawa
 
Akili yako kama mpaka hapa haijaelewa basi tena nitapoteza nguvu nyingi sana kukuelewesha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…