Mmawia JF-Expert Member Joined Aug 20, 2013 Posts 122,521 Reaction score 96,267 Feb 14, 2014 #1 Wana jf leo voda wamenitenda vibaya kwani asubuhi line yangu ili jifunga ghafla nikaenda kwa agent akasema tui renew, wakaniuliza namba 5 nilizopiga nikawapa wamengandisha hadi muda huu wananambia kuwa zile namba 5hawazioni hivyo nirudi kesho.
Wana jf leo voda wamenitenda vibaya kwani asubuhi line yangu ili jifunga ghafla nikaenda kwa agent akasema tui renew, wakaniuliza namba 5 nilizopiga nikawapa wamengandisha hadi muda huu wananambia kuwa zile namba 5hawazioni hivyo nirudi kesho.