Siku zote mwanamke ndiye anayeniwazia; siyo wewe umuwazie mwanamke.Ndugu zangu niwape tu ushauri kutokana na kile kuklichoniitesa kwa muda mrefu sana,
Mimi nilikua ni mzee wa kuchimba chimba sana yani nikiwa na mpenzi namfatilia kila kitu
Hata akitoka nafatilia anaenda ni wapi? eti mawazo yananituma labda anaenda kuliwa ngoja nimfatilie,
Nikimtumia sms asipojibu kwa mda nawaza itakua yuko na mwanaume huyu,
Nikimuona amesimama na mwanaume yani nakua na mashaka sana mpaka nifatilie huyi mwanaume ni nani?
Kila muda nilikua napenda kufuatilia simu yake nione charting zake,
Aisee stress zilikua haziniishii maana kila muda nilikua namuwaza tu yeye
Lakini tangu nimeacha kumchimbachimba mishe zake yani saivi niko fresh kabisa,
Sifatilii tena mambo sijui ya kumpigia simu nikakuta yuko bize sitaki tena kuanza kuhoji ulikua unaongea na nani,
Hata nikikuta kabanishwa na mwanaune chocho mimi sifatilii tena hayo,
Simu yake ndio kabisa niliacha maswala ya kuifuatilia,
Kiukweli tangu nimemuacha awe huru na mimi nimekia huru sana sina tena stress za kijinga,
Mimi sasa hivi kazi yangu itakua ni kuhonga na kula mzigo tu,
Maswala ya kujipa kazi za kufuatilia mtu mzima nimeachana nayo, na stress sina tena
Nawashauri mnaoteseka na mapenzi, acheni maswala ya kuchimbachimba wenzi wenu siku hizi mapenzi ya dhati ni adimu kuyapata.
Bora usijue kuliko kujua
Nguvu ya kujua mabaya ni mbaya sana kwani nilipokua kila nikigundua anachat na mwanaume mwingine mimi nakua sina amani kabisa
Ndio maana kumbe watu wanajinyongaga kisa mapenzi ni kwasababu wanawafuatilia sana wenzao
IN SHORT NI KWAMBA SINA TENA MAPENZI YA DHATI NA SITAJARIBU KUYAFANYA TENA KWA MTU YOYOTE YULE
Afadhali yako mimi nimemtafuta wa hivyo kanikosaKiukweli mi nashkuru kwa niliyenae hata hana habari na simu anaweza akaiacha hapo hata masaa mangapi wala hana habari nayo.
Hutasikia mwanaume kapiga wala kutuma msg na akitongozwa au kuombwa namba lazma aniambie. Hata nikijikuta nataka kuanzisha maongezi na mwanamke namkumbuka yeye, basi naacha mara moja najua ntasababisha amani ipotee narudisha moyo nyuma naachana kabisa na mawazo ya kuwa na mwanamke mwengine.
Nashkuru sana MUNGU kunizawadia huyu mwanamke kwa kweli. Ni wachache sana chini ya jua wapo mfano wake.
Dalili za umalayaNdugu zangu niwape tu ushauri kutokana na kile kuklichoniitesa kwa muda mrefu sana,
Mimi nilikua ni mzee wa kuchimba chimba sana yani nikiwa na mpenzi namfatilia kila kitu
Hata akitoka nafatilia anaenda ni wapi? eti mawazo yananituma labda anaenda kuliwa ngoja nimfatilie,
Nikimtumia sms asipojibu kwa mda nawaza itakua yuko na mwanaume huyu,
Nikimuona amesimama na mwanaume yani nakua na mashaka sana mpaka nifatilie huyi mwanaume ni nani?
Kila muda nilikua napenda kufuatilia simu yake nione charting zake,
Aisee stress zilikua haziniishii maana kila muda nilikua namuwaza tu yeye
Lakini tangu nimeacha kumchimbachimba mishe zake yani saivi niko fresh kabisa,
Sifatilii tena mambo sijui ya kumpigia simu nikakuta yuko bize sitaki tena kuanza kuhoji ulikua unaongea na nani,
Hata nikikuta kabanishwa na mwanaune chocho mimi sifatilii tena hayo,
Simu yake ndio kabisa niliacha maswala ya kuifuatilia,
Kiukweli tangu nimemuacha awe huru na mimi nimekia huru sana sina tena stress za kijinga,
Mimi sasa hivi kazi yangu itakua ni kuhonga na kula mzigo tu,
Maswala ya kujipa kazi za kufuatilia mtu mzima nimeachana nayo, na stress sina tena
Nawashauri mnaoteseka na mapenzi, acheni maswala ya kuchimbachimba wenzi wenu siku hizi mapenzi ya dhati ni adimu kuyapata.
Bora usijue kuliko kujua
Nguvu ya kujua mabaya ni mbaya sana kwani nilipokua kila nikigundua anachat na mwanaume mwingine mimi nakua sina amani kabisa
Ndio maana kumbe watu wanajinyongaga kisa mapenzi ni kwasababu wanawafuatilia sana wenzao
IN SHORT NI KWAMBA SINA TENA MAPENZI YA DHATI NA SITAJARIBU KUYAFANYA TENA KWA MTU YOYOTE YULE
Na kitendo chake cha kuacha kumchimba chimba bhaaasi ndio mwenzake kaanzia hapo kufanya yakeUKIONA HIVYO Umeanza kuwa Malaya!
dalili mojawapo mtu ukianza kuwa Malaya ni kutokuwa na wivu kwa mpenzi wako!