Usemi huu:- Kikulacho.. 'Umenikumbisha maisha ya chuo...
Marafiki wa karibu walinikosesha mchumba (Allen), kumbe na wao walikuwa wanamtamani....!!😌😌
fact mtu ambaee anaejua madhaifuu yako ndio anaepiga pale pele ikulu yako ilipoSiku zote ,mashambulizi hutoka kwa mtu wa karibu Sana na wewe,na anayekufahamu vizuri.
Hapa tupo ki-code zaidii hakuna anemfahamu mwenzakee...Sasa mwamba hata hii habari kuileta hapa tayari umeshavunja utaratibu wako mpya uliojiwekea..
Ilitakiwa upige kimya tuone vitendo tu. Tukirudi kwenye ulichokisema, kina ukweli kiasi flani. Mara nyingi wanaotuumiza au kutukwamisha ni wale tunaofikiria kuwa watu wa karibu tunaowashirikisha mambo yetu.