Nimefukuzwa tena kundini

Mkuu unaweza weka hiyo Pepa hapa?
 
Maadam uliwahi kunikaribisha ofisni kwako, nitajongea nikuhoji nikidhi kiu yangu, kuna kitu kinanikereketa kooni.

Nikiendelea kukuhoji kwa maandishi naweza nisi sound vyema, nanjijua sio mwandishi mzuri lakini ni mzungumzaji mzuri sana tu.
 
Killa...
Sina ujuzi wa hayo.
 
Maadam uliwahi kunikaribisha ofisni kwako, nitajongea nikuhoji nikidhi kiu yangu, kuna kitu kinanikereketa kooni.

Nikiendelea kukuhoji kwa maandishi naweza nisi sound vyema, nanjijua sio mwandishi mzuri lakini ni mzungumzaji mzuri sana tu.
Glenn,
Karibu sana ndugu yangu.
Ofidi yangu iko upenuni kwa sitting room yangu.

Pole sana najua umeshangazwa na haya ninayoweka hapa.
 
Hapana, siyo dunia nzima, rudi kafanye homework. Mfumo huo tuliletewa wajinga ndiyo waliwao. Hata waliotuletea hawaufati.

Sehemu ambayo haifwati western christian economic system ni masikini wa kutupwa kama chad, mali, maurtania, somalia au afghanistan na pakistan au sijui mynamar , lkn wote walioendelea wanafwata christian western economic system kuanzia China mpaka uae na Saudia wote wanafwata western christian civilization au unafikiri chimbuko la western justice system ni nini? Unapokwenda Mahakamani na kupata haki hiyo ni system ya wapi?
 
Mmmh hii kauli inaukakasi sana.
Huu ni uanaharakati
Glenn,
Sijui una maana gani na "uanaharakati."

Haya ninayokuandikia ni kutoka academic research nilizofanya na kuandika.
 
Glenn,
Karibu sana ndugu yangu.
Ofidi yangu iko upenuni kwa sitting room yangu.

Pole sana najua umeshangazwa na haya ninayoweka hapa.
Utajali nikikualika mgahani mzee wangu?
Upenuni sitakuwa huru kuzungumza, kiuhalisia nina ni nidhamu ya Kiafrika, nikiwa kwa mtu sipendi kuwa mzungumzaji
 
Mnachojidai kukikemea ndicho kinacho wasumbua, hiyo ndio historia ya kweli japokua hamuipendi, mmejaribu kuipotosha mmeshindwa. Nyinyi ndio wadini msiopenda ukweli ujulikane.

Aipo...
Wanajisikia vibaya kwa kuchelewa stesheni kupanda treni ya uhuru.

Wakajikuta hawana historia ya kuandika wala kuhadithia.

Wakaamua isiwepo na hii historia ya wazee wetu.
 
Glenn,
Sijui una maana gani na "uanaharakati."

Haya ninayokuandikia ni kutoka academic research nilizofanya na kuandika.
Pengine mwandiko wangu umekuwa mkali sana, na haikuwa lengo langu nieleweke vile lkn ninachokilenga ni huenda makala zako zinaegemea zaidi.
Naomba niishie hapa maadam Mungu akipenda tutazungumza zaidi
 
Glenn,
Karibu sana ndugu yangu.
Ofidi yangu iko upenuni kwa sitting room yangu.

Pole sana najua umeshangazwa na haya ninayoweka hapa.
Nimewahi kufika pale kwako Magomeni ,tulikaa ,tukaaongea sijui kama unanikumbuka
 
Utajali nikikualika mgahani mzee wangu?
Upenuni sitakuwa huru kuzungumza, kiuhalisia nina ni nidhamu ya Kiafrika, nikiwa kwa mtu sipendi kuwa mzungumzaji
Glenn,
Usiwe na hofu kuna faragha ya kutosha.

Nimefanya vipindi vingi hapa na TBC1, AZAM na wengineo.

Tutazungumza vizuri tu toa hofu.
Nataka uje kwangu uwe ndugu yangu.
 
Pengine mwandiko wangu umekuwa mkali sana, na haikuwa lengo langu nieleweke vile lkn ninachokilenga ni huenda makala zako zinaegemea zaidi.
Naomba niishie hapa maadam Mungu akipenda tutazungumza zaidi
Glenn,
Toa hofu tuko pamoja.
 
So unataka marehemu mzee Nyerere tumfanye nini kutokana na researches zako, maana inaonekana a lot of your articles ni Nyerere, Nyerere na Nyerere tu?.
 
Mohamed Said, ukiona umefukuzwa pahala ujue watu wamechoka na ujumbe wako ulioupeleka. Tangu nikufahamu ndani ya jf kila wakati unaandika negativity za Nyerere dhidi ya Waislam. Kifupi unapalilia udini!! Si kwamba watu wanakuchukia, hapana, wanachukia jumbe zako.
 
So unataka marehemu mzee Nyerere tumfanye nini kutokana na researches zako, maana inaonekana a lot of your articles ni Nyerere, Nyerere na Nyerere tu?.
Today,
Hapana unasoma tofauti utafiti wangu hauko kwa Mwalimu Nyerere.
Utafiti wangu ulianza na mchango wa wazee wangu katika historia ya uhuru wa Tanganyika.

Swali la kwanza nilijiuliza vipi historia ya TANU imeandikwa babu zangu hawamo?
Nimejiuli swali hili kwa kuwa naijua historia ya TANU.

Mtu asiyeijua yeye ataona sawa tu.

Sasa historia yangu chembelecho, ''a lot of your articles ni Nyerere, Nyerere na Nyerere tu.''

Hapana rejea kusoma vyema utaona nawataja wazee wangu Nyerere anaingia kama sehemu ya historia ya marehemu wazee wangu waliokuwa na yeye katika kupigania uhuru wa Tanganyika.
 
Na ndipo hapa ninapokuuliza, historia ipi inawasahau hao unaoita babu zako? Ulishaandika mengi na kuweka hiyo historia, unatakeje tena? au unataka iweje ndio ujue historia imewakumbuka hao babu zako? Unataka wafanyweje hasa?
 
Glenn...
Hapana huwezi kuchoka kusoma historia hii.
Si kama najisifu ''track record'' inaonyesha hivyo.

Niko full booked ''Nyerere Day.''
Ukipenda ingia You Tube angalia video za nyuma Nyerere Day nimezungumza stesheni ngapi?

Sioni hiyo ''negativity'' labda utuwekee hapa kila mtu ashuhudie.
Kusahihisha historia iliyofuta ni kupalilia udini?

Vipi kufuta historia ya Waislam hicho ni nini?
Mimi sijahisi hata siku moja kama nachukiwa.

Sijua wewe hili kuwa nachukiwa umelipata wapi?
Naandikiwa na watu wengi sana wakiomba kunitembelea.

Hapa JF nimekuwa Mwandishi Bora Jukwa la Historia mara mbili mfululizo mwaka wa 2021 na 2022.

Maktaba yangu ni kati ya Maktaba tatu bora zilizosheheni historia ya Baba wa Taifa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere: Maktaba ya Salim Ahmed Salim, Brig. General Hashim Mbita na yangu Mohamed Said.

Haya yameandikwa kwenye kitabu: ''Nyerere Biography'' (2020).
Je, hizi ni dalili za mtu anaechukiza?
 
Na ndipo hapa ninapokuuliza, historia ipi inawasahau hao unaoita babu zako? Ulishaandika mengi na kuweka hiyo historia, unatakeje tena? au unataka iweje ndio ujue historia imewakumbuka hao babu zako? Unataka wafanyweje hasa?
Mbussi,
Sina nitakacho.
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…