Mohamed Said
JF-Expert Member
- Nov 2, 2008
- 23,420
- 33,982
Wanamwachaje Abdul Sykes 😁 😁Inaelekea historia ya Mwalimu Nyerere itakiwayo ni ile ya zamani yuko peke yake wasitajwe wenzake
Mzee wangu tusaidie basi waboreshe mkataba wa DPW au utafukuzwa na msikitini kabisa.NIMEFUKUZWA TENA
BAADA ya kuweka video hii ya TBC nikatolewa kundini...
Syllog...Wanamwachaje Abdul Sykes 😁 😁
Pole Mzee Wangu
Glenn,Mzee wangu tusaidie basi waboreshe mkataba wa DPW au utafukuzwa na msikitini kabisa
Puna,Kuna watu historia ya Nyerere wanavyoielewa kuwaambia mambo mengine ni sawa na wewe kuambiwa hiyo Dini Yako ni feki kamwe huwezi kukubali.
Taratibu wataelewa Mzee wangu. Kama Kuna haja tuanzishe group letu huko unashusha mizigo unavyoweza.
Iron...🤣🤣🤣
We mzee huna maadili
Mambo ya Siri ya magroup unaleta jf
Sawa samahani kwa HiloIron...
Ungeandika hivi ingependeza: ''Mzee huna maadili,'' ukaondoa ''We.''
Siri unaiwekaje kwenye group wakati unaweza msg ile ukaipeleka kokote upendapo?
Hata hivyo nimelinda faragha sikulitaja group.
Iron...Sawa samahani kwa Hilo
Ila kuleta huku unalikosea group
1. Msikiti una uhusiano sana na DPW, kuna fununu kuwa watajenga msikiti mkubwa sana Mbeya, hii imekaaje?Glenn,
Unadhani Maaskofu wameelewa?
Msikiti una uhusiano gani na DPW?
Masheikh ni tofauti na Maaskofu hawana uwezo wa kuikaripia serikali wala kumfukuza mtu msikitini wala kufuta dhambi zake.
Mimi Mohamed Said akinijibu #15 nitafurahi sana🤣🤣🤣
We mzee huna maadili
Mambo ya Siri ya magroup unaleta jf
🤣🤣🤣HatakujibuMimi Mohamed Said akinijibu #15 nitafurahi sana
Ebu Shika adabu kidogo kwa mzee wetu..🤣Mzee wangu tusaidie basi waboreshe mkataba wa DPW au utafukuzwa na msikitini kabisa
Naomba nijibiwe #15Ebu Shika adabu kidogo kwa mzee wetu..🤣