nina-kithembe
Member
- Sep 14, 2013
- 63
- 14
Heh na yule alochafua godoro vipi?
Kweli usimnyooshee mwenzio kidole vitatu vinakutazama wewe anakuja kuleta ripoti ya mkewe lakini yeye akifanya uzinzi sawa kabisa mbona mwaka huu kazi!!!Ngoma droo hapoohahahahaha lol!...anataka kumpa promotion ya nguvu achukue nafasi ya huyu mwenye lugha chafu na kiburi.
Kweli usimnyooshee mwenzio kidole vitatu vinakutazama wewe anakuja kuleta ripoti ya mkewe lakini yeye akifanya uzinzi sawa kabisa mbona mwaka huu kazi!!!Ngoma droo hapoo
Hivi unajua naongelea nini au unasema tu ili mradi useme??uzinzi kwao ni sawa lakini kwa wanawake aaha ehee kumbe inaumaga eeh. kama unajua kwani wanawake wao wamewekewa superglue ama? kwamba aiingii ?
Hivi unajua naongelea nini au unasema tu ili mradi useme??
He he he Zahra White watu wengine wanadandia daladala kwa mbele lol...all of this bcoz squiting
Wadau nishaurini. Nina mke...tumekua na uhusiano kwa muda mrefu. Lakin mwenzangu huyu anatabia za uzinzi, lugha chafu na kiburi. Nimejitahidi kila niwezavyo lakin furaha siipati. Huu ni mwaka wa sita sasa. Hatuelewani hata kidogo....inafikia hatua nikimpigia simu anakua haheshimu zimu zangu. Leo nimechukia sana baada ya kumpigia simu nabkisha kuikata. Nikampigia tena akadai rafiki yake alikua kaishika akawa amekata kwa bahati mbaya. Kiukweli...nimeamua kutowasiliana nae tena. Nimemweka block list koz ni kwa muda mrefu hatuelewani. Naanza upya..nafanya issue zangu. Am tired na headache zisizokua na maana. Nilimsomesha kuanzia sekondar mpaka chuo kikuu. Sasa kapangiwa kazi mbali na mimi. Anashindwa kuheshim mawasiliano. Ataniua huyu mwanamke wadau. Au mnanishaurije?
Wadau nishaurini.
Nina mke...tumekua na uhusiano kwa muda mrefu. Lakin mwenzangu huyu anatabia za uzinzi, lugha chafu na kiburi. Nimejitahidi kila niwezavyo lakin furaha siipati. Huu ni mwaka wa sita sasa. Hatuelewani hata kidogo....inafikia hatua nikimpigia simu anakua haheshimu zimu zangu. Leo nimechukia sana baada ya kumpigia simu nabkisha kuikata. Nikampigia tena akadai rafiki yake alikua kaishika akawa amekata kwa bahati mbaya.
Kiukweli...nimeamua kutowasiliana nae tena. Nimemweka block list koz ni kwa muda mrefu hatuelewani. Naanza upya..nafanya issue zangu. Am tired na headache zisizokua na maana.
Nilimsomesha kuanzia sekondar mpaka chuo kikuu. Sasa kapangiwa kazi mbali na mimi. Anashindwa kuheshim mawasiliano.
Ataniua huyu mwanamke wadau. Au mnanishaurije?