nimechoka

Junior. Cux

JF-Expert Member
Joined
Feb 3, 2011
Posts
5,319
Reaction score
3,797
VERY CLZ......

Mnaniboa nyie baadhi ya wanaume mcio jua kukutaliwa au kuachwa... mtu unamtaka vzur mnakubaliana mnapendana mnaachana au unamkataria... apo sasa ndo panakua gabayaa yan mtu anakug'ang'ania ka kupe... bora ata ingekuwa kwa mapenz bac ukajuaa ...yan kwa shariii mwanaume mzima unaanzaje kuntukana mwanamkee??? kabsaa yan unajiita mwanaumee.. ebu kuweni muache ulimbuken wa mapenz mtu kaka akutaki c unamuachaaaa kwan mamako huyoo... uo n ushambaaa wanaume wenye akir timam hawafanyi hivooo....mnaboa bana... aaaahh...

ndo nishasema miee msg send..

samahan kwa atayenielewa tofaut.
 
Ndo walewale machangu. Umeona kaishiwa mfukon unaropoka upuuz wako hapa mbona alivynkuwa anakutoa out hukusema
 
^^
JF sasa ni kama ile hadithi maarufu ya 'MFALME ANA MASIKIO KAMA YA PUNDA'
ambapo mambo yakikuzidi nje unayeleta humu Mti ma JF unaitangazia dunia.
Sijui watu8 anaikumbuka hii hadithi ?
^^
 
Last edited by a moderator:
Jamaa sasa kachoka/kaishiwa unaamua kummwaga ,umesahau ofa zake zote,wanawake bwana
 
duh! Mengne hayo ni ya kwenu wawili hai2husu sisi kama anang'ang'ania kivyake. Si 2kusaidiaje?
 
wanaume oooyeeeeee! ss ni wakal... km jike lilizoea kula vya bure cku jamaa akkosa jike linasema sikutak...hutak?
 
Sasa na wewe ndo unastukia leo kuwa hana akili timamu? Nazi koroma unatakiwa uijue kwa mbali. Umevamia bahari umeibuka na mkizi, lako hilo!
 

Kweli inakera sana

Mimi mwanamke akiniambia tu sikutaki au akionesha dharau au ishara za ajabu ajabu nakimbia fasta!!!
 
^^
JF sasa ni kama ile hadithi maarufu ya 'MFALME ANA MASIKIO KAMA YA PUNDA'
ambapo mambo yakikuzidi nje unayeleta humu Mti ma JF unaitangazia dunia.
Sijui watu8 anaikumbuka hii hadithi ?
^^

Kimsingi kuna mambo magumu ambayo mtu anaweza kuyaleta hapa asaidiwe mawazo

Au kama kuna tukio au jambo ambalo linaweza kuwa fundisho akalileta hapa ili watu wajifunze

Lakini kuna mambo mengine ni ya kufikiri kidogo tu lakini watu wanayaleta hapa

Mengine hata hayafai kuletwa hapa kwani ni mambo ya ndani yasiyotakiwa kujadiliwa hapa lakini yanaletwa

Siku hizi watu hawataki kufikiri kabisa!!!!!!!
 
sijaona umuhimu wa wewe kulet hii mada ---- hapa! Kwani mmeshindwa kumalizana hukohuko mlikokutania
 
Hili pia liwe fundisho kwako mleta mada ukome kucheza na Moyo wa Mtu. Kama humpendi mkatalie toka mwanzo sio unamuonjesha alafu baadae ndo unajitia humtaki, Mkiacha kumkubali huyu leo kesho yule ukamkubali unaempenda tu haya hayatokukuta.
 
Jamaa sasa kachoka/kaishiwa unaamua kummwaga ,umesahau ofa zake zote,wanawake bwana

wanawake wengne wajinga sana walitongozana kmyakmya lakn kwenye kuacha linabwata ujinga wake! Watu kama hao dawa yao mimba tu na kulitelekeza
 
Yaan huyu n malaya kabisa n muuza uchi hana hata haya kuleta ujinga h uu kwenye jukwaa kama hili. Puumbaaaf!..
 

umekula hela yangu utanibeba leo
 
Hahah naikumbuka sana rafiki...hadithi ya kinyozi na mfalme...

^^
JF sasa ni kama ile hadithi maarufu ya 'MFALME ANA MASIKIO KAMA YA PUNDA'
ambapo mambo yakikuzidi nje unayeleta humu Mti ma JF unaitangazia dunia.
Sijui watu8 anaikumbuka hii hadithi ?
^^
 
Last edited by a moderator:
Huyu ana stress tu hana lolote, mfata huyo mtu umwambie
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…