Ipo iyoiyo na waka Ban kaka yani nkiadd watu tu wanabanTumia, install official WhatsApp pekee kwenye simu yako
Badilisha simu ujue shida ni simu au ni hiyo namba yako inashidaIpo iyoiyo na waka Ban kaka yani nkiadd watu tu wanaban
Nabadilisha namba Bado vilevil na simu pia noibadl n ivoivoBadilisha simu ujue shida ni simu au ni hiyo namba yako inashida
Basi una gundu, tumia telegramNabadilisha namba Bado vilevil na simu pia noibadl n ivoivo
Kama hujui kitu bora utulz kipochi manyoya tuKwanini una add watu bila wao kupenda? Lazma wakureport..watu kam nyie dawa yenu ni ban tu
Jaribu kujiuliza shughuri inayoifanya maybe unasababisha watu wanakureport..na ikitokea wamereport almost 75% ya watu uliowaad lazima ban iusike..ila pole na jaribu kutuma link kwa hao watu instead of adding
Sasa sote tumeelewa tatizo liko wapi.Kama hujui kitu bora utulz kipochi manyoya tu
Ndio ushakula ban sasa [emoji2]Kama hujui kitu bora utulz kipochi manyoya tu