Pakigoma hama fani mkuu usilamishe utajikuta kwenye dimbwi la ushirikinaSo utajuaje kuwa amekupangia riziki mahala fulani?
Hapana mkuu, nikiwa nimejilaza chini ya mti, pembeni ya mto
Unatumia njia gani kupima natural au artificial ??je unatumia wataalamuWanajamvi
Leo nimekuja, mwenzenu yamenifika shingoni
Nina miaka mitatu tangu nimeingi kwenye uchimbaji wa madini huku chunya mbeya,
Nimamiliki karasha, nimeshapoteza zaidi ya milioni 40 katika shughuli hii.
Huwa nnajitahidi kupima miamba kila hatua kama inavyoshauriwa lkn matokeo mara zote huwa kinyume na matarajio,
Mfano unaweza kupima mwamba ukaambiwa ni wastani wa ppm 8 lkn unachokuja kukipata ni wastani wa ppm 1
Wadau wengi hawataki kutoa siri ya wapi wanapitia ili kuhakikisha kile wanachotakiwa kukipata wanakipata,
Tafadhali sana, mwenye kujua namna nnaweza kupata msaada wa kweli tafadhali msaada hapo PM
Uongo huu......Nenda kwa waganga utoe kafara utafanikiwa izo mishe haziji kizembe zembe tu utakaa hapo hata miaka 10 hupat kitu
Tunafanya kisasa mkuu, tunatumia maabara bora kabisa, hata sample inachukuliwa kitaalam kabisaUnatumia njia gani kupima natural au artificial ??je unatumia wataalamu
Binafsi nakushauri mkuu jitahidi kufanya kazi na wataalamu na kuna kamashine kanauzwa milioni 10 nako hutumika kudetect madini aina mbali mbali.Tembea depertment za UDSM na UDOM utawapa wataalamu wa kutosha au nenda GST.
Chunya kuna reserve kubwa sana ya dhahabu so jitahid ufanye kisasa boss
Binafsi nasomea mineral exploration and mining geology.Namaliza mwakani
Wewe uko theoritical sana hayo mambo hayaendi kisomi kama unavo fikilia njoo migodini ujionee watu wanagundua madini bila hizo theory zenu.Unatumia njia gani kupima natural au artificial ??je unatumia wataalamu
Binafsi nakushauri mkuu jitahidi kufanya kazi na wataalamu na kuna kamashine kanauzwa milioni 10 nako hutumika kudetect madini aina mbali mbali.Tembea depertment za UDSM na UDOM utawapa wataalamu wa kutosha au nenda GST.
Chunya kuna reserve kubwa sana ya dhahabu so jitahid ufanye kisasa boss
Binafsi nasomea mineral exploration and mining geology.Namaliza mwakani
Haya mambo haya. Hata sisi 2019 tulikuwa huko tukashindwa tukahamia shinyanga tukapiga mwanzo baadaye hola! Nikajitoa mwenzangu akabaki. Amekula hasara naye katoka mwaka jana. Lakini wengine wako poa kabisa wana make. Mimi hapo kwenye ppm ndipo nashangaa inasoma hivi matokeo baadaye ni tofauti. Sitaki kusikia kabisa hizi habari.Wanajamvi
Leo nimekuja, mwenzenu yamenifika shingoni
Nina miaka mitatu tangu nimeingi kwenye uchimbaji wa madini huku chunya mbeya,
Nimamiliki karasha, nimeshapoteza zaidi ya milioni 40 katika shughuli hii.
Huwa nnajitahidi kupima miamba kila hatua kama inavyoshauriwa lkn matokeo mara zote huwa kinyume na matarajio,
Mfano unaweza kupima mwamba ukaambiwa ni wastani wa ppm 8 lkn unachokuja kukipata ni wastani wa ppm 1
Wadau wengi hawataki kutoa siri ya wapi wanapitia ili kuhakikisha kile wanachotakiwa kukipata wanakipata,
Tafadhali sana, mwenye kujua namna nnaweza kupata msaada wa kweli tafadhali msaada hapo PM
Pole.Hapana mkuu, nikiwa nimejilaza chini ya mti, pembeni ya mto
Kipimo gani ofsa?Unatumia njia gani kupima natural au artificial ??je unatumia wataalamu
Binafsi nakushauri mkuu jitahidi kufanya kazi na wataalamu na kuna kamashine kanauzwa milioni 10 nako hutumika kudetect madini aina mbali mbali.Tembea depertment za UDSM na UDOM utawapa wataalamu wa kutosha au nenda GST.
Chunya kuna reserve kubwa sana ya dhahabu so jitahid ufanye kisasa boss
Binafsi nasomea mineral exploration and mining geology.Namaliza mwakani
Nimekataa kuwa na plan b mkuu, acha nikomae, lkn wengine anapima hata ikipishana ni kidogo sanaHaya mambo haya. Hata sisi 2019 tulikuwa huko tukashindwa tukahamia shinyanga tukapiga mwanzo baadaye hola! Nikajitoa mwenzangu akabaki. Amekula hasara naye katoka mwaka jana. Lakini wengine wako poa kabisa wana make. Mimi hapo kwenye ppm ndipo nashangaa inasoma hivi matokeo baadaye ni tofauti. Sitaki kusikia kabisa hizi habari.