Wewe acha uoga nina kisa kirefu sana hapa miaka hiyo nipo na Drip home aiseeeeeeeeNaumia sana mkuu ngoja niwe mvumilivu tu
Ndio maana tunakufa mapema....Mkuu hakuna aisee drip iliendelea kushuka na mengine yakaendelea..yule mtu alisema nimelaaniwa π π π π Mke wa mtu huko sasa hivi nimekuwa mtu mzima sitaki tena Dhambiπ€£π€£π€£ ilikuwaje? Ulichomoa drip?ππ
Tai dume mbona una hasira ivi mkuu? hata sisi tumeumizwa na uonevu alofanya ndunguru kwa Lissu, kesho jumatatu mawakili wanaanza kazi usifikiri tumepoa bado tupo updated!ππHiyo ni totally mental issue, yaani unachat na bot halafu unaona ni sawa tuu
Mkuu maumivu haya yapo kifuani nadhani kama sio mbavu imepata ufa basi ni jeraha la misuri au michubuko kwenye mbavu! ngoja nivumilie kidogo si umeona mtaalamu alivonishauri lkn?Nilipata ajali ya gari 2017 haikuwa kubwa sana ila mkono uliteguka kufika nyumbani wife(wa wakati huo alikuwa soldier)akaunyosha kibabe sana baada ya hapo ilipigwa game hadi nikapona maumivu makali yakaja asubuhi nikapoza na k tena
We piga show usiwaze
Hiyo ni misuli imejivuta ufa ingekuwa issue kama ya Miguel kule Spain hata usingekuwa unapost na kuchati na master gptMkuu maumivu haya yapo kifuani nadhani kama sio mbavu imepata ufa basi ni jeraha la misuri au michubuko kwenye mbavu! ngoja nivumilie kidogo si umeona mtaalamu alivonishauri lkn?