Nimecheka kishenzi

Usijiamini sana ukadanganywa na viooView attachment 347572
Ushawahi kuwa nyumbani na wazazi mnaangalia movie halafu ghafla inatokea sex scene watu wanapigana mabusu wanarushana kitandani... Dingi anapagawa Ile kuua soo anakuuliza "Joshua? Ushapiga pasi GARI...!!!"
Nawe ulivyochanganyikiwa unajibu
"Umeme umekatika mzee..."
 
Ras Simba mkuu ndio jibu la tatizo lako,mi nina kawiki sasa na matokeo sio mabaya...zis izi zati uongo nabambia bambia kimtindo!

Ras Simba ana formula ya N+S+T na P+H+V alizozigundua Ulaya, na anasema ukishindwa kuzungumza kiswahili kwake, basi hutakaa tena ukijue labda uende kuishi Uingereza.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…