Nimesoma EGM
Nataka nisome project planning
Huu ndio ushauri wangu!
Naimani unaishi bongo na unajua hali ya ajira ilivyo! Je unataka kwenye project planning ushawahi kusikia kazi za project planning kwa level ya barchelor?
Kwanza kuliko ubadili kozi kwenda project planning ni bora ubaki kwenye ISM!
Pili nimeangalia masomo ya ISM naona ni mchanganyiko wa IT/Computer Science na Accountancy!
Kwa sasa tunaishi kwenye ulimwengu wa teknolojia, kazi nyingi zinabebwa na teknolojia! kwa kifupi ISM inakuandaa sio tu uwe mhasibu/businessman ila uwe mhasibu mwenye strong command ya IT!
So kama unajijua unapenda mambo ya IT nenda kasome ISM! to me i think its better kuliko project planning!
Tatu kama unaona hupendi mambo ya IT
na kama kuna ulazima wa kubadili kozi nakushauri ukasome Accountancy! kwann nasema accountancy? well, angalia trend ya ajira za bongo, japo watu wanasema haina ajira ila ajira zake zinatoka iwe serikalini au private!
Na kama ukiamua kwenda na accountancy basi ukimaliza komaa upate CPA!!
In nutshel
Kama unataka kusoma Project planning na una mchongo nenda kasome! Ila kama ni mtoto wa mkulima think again!
ISM ni nzuri kwa kujiajiri na kuajiriwa kama ilivyo accountancy japo sijajua limitations zake zitakuaje wakati wa kuchukua CPA huko badae!
Na kama kuna ulazima wa kuchange kozi bora ukasome accountancy!
Huo ni mtazamo wangu!