Computer Science sio mbaya ka unavofikiria Ww coz tunako enda huko mbele demand ya Computer experts itakuwa kubwa sana na nowdays kila kitu kinabase kwenye technology iwe ni biashara, uchumi, elimu, mawasiliano etc. Anyway, mechanical Eng is better than Civil Eng
Una uwezo wa kubadilisha within a first week but inabd uwe na sifa pia kuwe na nafasi kwenye coz unayochagua...kwa maelezo zaidi fika chuon uchukue admission letter utapewa name karatac yenye hayo maelezo.