R Richard Elibarick Member Joined Apr 26, 2016 Posts 54 Reaction score 7 Jul 25, 2016 #1 Jamani nimechaguliwa na NACTE diploma ya medical lab Kampala University (KIU). Nimeskia eti kilikuwa na matatizo. Je yameisha?
Jamani nimechaguliwa na NACTE diploma ya medical lab Kampala University (KIU). Nimeskia eti kilikuwa na matatizo. Je yameisha?
catecholamine Member Joined Jul 19, 2016 Posts 54 Reaction score 39 Jul 25, 2016 #2 Kumbe umesikia !!!!!
M mbingunikwetu JF-Expert Member Joined Feb 17, 2015 Posts 14,192 Reaction score 19,118 Jul 25, 2016 #3 NANGA WA KWATA said: ***** ulishapigwa kitu umekalia umbaya humu hapa town Click to expand... Hawana hospitali lakini wanachukuwa wanafunzi kibao kuanzia certificate hadi PhD! Wote hao
NANGA WA KWATA said: ***** ulishapigwa kitu umekalia umbaya humu hapa town Click to expand... Hawana hospitali lakini wanachukuwa wanafunzi kibao kuanzia certificate hadi PhD! Wote hao
tandoor Senior Member Joined Jun 10, 2016 Posts 170 Reaction score 128 Jul 26, 2016 #4 Hongera na pole saaaana
Level Florian JF-Expert Member Joined May 30, 2015 Posts 202 Reaction score 38 Jul 26, 2016 #5 tandoor said: Hongera na pole saaaana Click to expand... pole ya nin sasa
M Mseti athuman JF-Expert Member Joined Jul 19, 2016 Posts 203 Reaction score 150 Jul 26, 2016 #6 Umechemkaaaaa
Shepherd JF-Expert Member Joined Dec 14, 2012 Posts 2,428 Reaction score 1,660 Jul 26, 2016 #7 Richard Elibarick said: Jamani nimechaguliwa na NACTE diploma ya medical lab Kampala University (KIU). Nimeskia eti kilikuwa na matatizo. Je yameisha? Click to expand... Waombe wakuamishie KCMC hapo sijui kwa kweli uliomba au ulipangiwa bila kuomba na kama uliomba hapo kwanini kabla ya kuomba ukuja kutuomba Ushauri.
Richard Elibarick said: Jamani nimechaguliwa na NACTE diploma ya medical lab Kampala University (KIU). Nimeskia eti kilikuwa na matatizo. Je yameisha? Click to expand... Waombe wakuamishie KCMC hapo sijui kwa kweli uliomba au ulipangiwa bila kuomba na kama uliomba hapo kwanini kabla ya kuomba ukuja kutuomba Ushauri.
catecholamine Member Joined Jul 19, 2016 Posts 54 Reaction score 39 Jul 26, 2016 #8 Usikilize maneno ya watu ambao Kampala hawaijui vizuri iko vizuri , nenda kasome ,, hospital kubwa sana ipo inajengwa , Nina mdogo wangu yupo huko ....
Usikilize maneno ya watu ambao Kampala hawaijui vizuri iko vizuri , nenda kasome ,, hospital kubwa sana ipo inajengwa , Nina mdogo wangu yupo huko ....
B bavitamlewa JF-Expert Member Joined Jul 11, 2015 Posts 270 Reaction score 212 Jul 26, 2016 #9 Yes yalikuwepo saiv wapo vzr m npo hapa
Dennis002 Senior Member Joined Aug 18, 2014 Posts 149 Reaction score 52 Jul 26, 2016 #10 Richard Elibarick said: Jamani nimechaguliwa na NACTE diploma ya medical lab Kampala University (KIU). Nimeskia eti kilikuwa na matatizo. Je yameisha? Click to expand... Richard Elibarick said: Jamani nimechaguliwa na NACTE diploma ya medical lab Kampala University (KIU). Nimeskia eti kilikuwa na matatizo. Je yameisha? Click to expand... Umeshayavulia nguo yakupasa tu kuyaoga ndugu
Richard Elibarick said: Jamani nimechaguliwa na NACTE diploma ya medical lab Kampala University (KIU). Nimeskia eti kilikuwa na matatizo. Je yameisha? Click to expand... Richard Elibarick said: Jamani nimechaguliwa na NACTE diploma ya medical lab Kampala University (KIU). Nimeskia eti kilikuwa na matatizo. Je yameisha? Click to expand... Umeshayavulia nguo yakupasa tu kuyaoga ndugu