DIMPOZ ni SHOSTI WA KIBA...no surprisesMuda sio mrefu Ommy Dimpoz, alimjibu Diamond baada ya Diamond kuimba verse nyingine ya pili.
Ommy alipost picha aliyopiga na Mama yake mzazi wa Diamond akichukua uhusika wa baba yake Diamond, yaani yeye ni mume wa mama Diamond.
Niliposoma sikupendezwa na caption alizotumia kumjibu Diamond akiwa anamdharilisha na Mama yake mzazi pia.
Nawashukuru instagram kwa kuwa responsive baada ya mimi kui-report hiyo post ya Dimpoz na kuifuta mara moja.
Nilii-report kuwa : It's inappropiate
Sababu : Harassment or bullying
Muhusika : Celebrity or Public figure
Napenda hii iwe ni operation endelevu kuanzia sasa pale unapoona watu wakivuka mipaka ya kujitambua, hususani hawa wanaoshindwa kuheshimu hata mama zao wazazi. Report tu! Siku hizi hii mitandao ipo very serious kwenye suala zima la kutokomeza ujinga.
Mabifu yenu muyamalize nyie kwa nyie. Mama zenu msiwahusishe kwenye ujinga wenu.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Aya kachukue karanga ule ulale
Dayamond kayataka mwenyeweMuda sio mrefu Ommy Dimpoz, alimjibu Diamond baada ya Diamond kuimba verse nyingine ya pili.
Ommy alipost picha aliyopiga na Mama yake mzazi wa Diamond akichukua uhusika wa baba yake Diamond, yaani yeye ni mume wa mama Diamond.
Niliposoma sikupendezwa na caption alizotumia kumjibu Diamond akiwa anamdharilisha na Mama yake mzazi pia.
Nawashukuru instagram kwa kuwa responsive baada ya mimi kui-report hiyo post ya Dimpoz na kuifuta mara moja.
Nilii-report kuwa : It's inappropiate
Sababu : Harassment or bullying
Muhusika : Celebrity or Public figure
Napenda hii iwe ni operation endelevu kuanzia sasa pale unapoona watu wakivuka mipaka ya kujitambua, hususani hawa wanaoshindwa kuheshimu hata mama zao wazazi. Report tu! Siku hizi hii mitandao ipo very serious kwenye suala zima la kutokomeza ujinga.
Mabifu yenu muyamalize nyie kwa nyie. Mama zenu msiwahusishe kwenye ujinga wenu.
huyu labda ni esma......si unajua tena uchungu wa mamaHalafu hiyo kazi unayofanya unalipwa ujira gani kiongozi
Mmetaka chai mmepewa mnalalamika mnaungua.Muda sio mrefu Ommy Dimpoz, alimjibu Diamond baada ya Diamond kuimba verse nyingine ya pili.
Ommy alipost picha aliyopiga na Mama yake mzazi wa Diamond akichukua uhusika wa baba yake Diamond, yaani yeye ni mume wa mama Diamond.
Niliposoma sikupendezwa na caption alizotumia kumjibu Diamond akiwa anamdharilisha na Mama yake mzazi pia.
Nawashukuru instagram kwa kuwa responsive baada ya mimi kui-report hiyo post ya Dimpoz na kuifuta mara moja.
Nilii-report kuwa : It's inappropiate
Sababu : Harassment or bullying
Muhusika : Celebrity or Public figure
Napenda hii iwe ni operation endelevu kuanzia sasa pale unapoona watu wakivuka mipaka ya kujitambua, hususani hawa wanaoshindwa kuheshimu hata mama zao wazazi. Report tu! Siku hizi hii mitandao ipo very serious kwenye suala zima la kutokomeza ujinga.
Mabifu yenu muyamalize nyie kwa nyie. Mama zenu msiwahusishe kwenye ujinga wenu.
Akikupa jibu fanya kuntag.Halafu hiyo kazi unayofanya unalipwa ujira gani kiongozi
Karanga tu zinatoshaHalafu hiyo kazi unayofanya unalipwa ujira gani kiongozi
Karanga tu zinatosha
nenda na basata kawambie wafute wimbo ule basi tuanzie apoMuda sio mrefu Ommy Dimpoz, alimjibu Diamond baada ya Diamond kuimba verse nyingine ya pili.