Chizi Maarifa
JF-Expert Member
- Jul 29, 2013
- 10,465
- 23,768
Apa tusogeze tu kashata
Wapo tena wengi wa hivyo
Mmmh eeeh yaani hapo alikukomesha ila wa hivyo ukitaka asizimie tafuta feni muwekee karibu
Sent using i phone x
Hii inshu ilisababisha nisimuoe dada mmoja hivi tuliyependana sana.
Ilikuwa mara nyingi tukifanya sex anazimia! Ila kuna siku pia alikuwa hazimi!
Nilikuwa naogopa sana. Nikawaza tukioana huyu ipo siku atazimika nipate murder case. Japokuwa kuna wakati namkumbuka sana. Kwa sasa ningemuona kabla hajaolewa ningechukua jiko jumla.
Niliwahi kuuliza hii inshu inasababishwa na nini ila sijajibiwa.
Mshanajr
Sent using Jamii Forums mobile app
Nikaropoka, "Kumbe hujafa" akashtuka, "xxx mbona sikuelewi?" Ndiyo nikamsimulia akasema ndivyo alivyo. Huwa anapoteza fahamu sometimes utamu ukimzidia.
Hapo umetupiga nyundoooeti ahaaa kumbe hujafa?
Sent using Jamii Forums mobile app