Habari za mida wana jf na poleni na majukumu
Ni mwezi toka nimgegede dem wangu mara ya mwisho sasa ananichenga isivyo kawaida kila tukipanga ikikaribia siku husika inatokea kijisababu sasa me hi tabia inanichosha sasa naombeni ushauri wenu nifanye nn wakuu