And it doesn't if he is around but doesn't do anything for the child??That is true that they are worthless but It does make a big impact to a child if daddy isn't around.
Uzuri ni kwamba hamna niliposema wanaume wote hawana maana...Namaanisha kuwa kama kuna baadhi ya wanaume wasiotekeleza wajibu wao haimaanishi wanaume wote kwa ujumla hawana maana.
Tatizo gani.............???Hapana bali tatizo litaonekana kwa familia
Baba sio lazima awe biological...Naona hujanielewa vizuri, sikatai hao wajomba kuchukua majukumu pale ambapo mambo yameharibika (kifo, ugonjwa, ulevi, kuvunjika kwa ndoa n.k) ninacho pinga ni pale mdada anapoamua kujishikisha mimba kwa njemba yeyote kama sperm donor ili ajilele mtoto peke yake. Hilo ni kosa kwasababu inamnyima haki yule mtoto kuwa na baba katika maisha yake.
Lack of father child relationshipTatizo gani.............???
Mimi sikatai mtoto kujifunza mazuri kutoka kwa role model wengine.Baba sio lazima awe biological...
Wapo watu wana baba zao wazazi around ila wamenufaika zaidi na baba zao wakambo..wajomba..na marafiki wengine na ndio wanaowaangalia kupata mwongozo.
Kwahiyo mtu anapoamua kujitafutia mtoto sioni ubaya wake iwapo huyo mtu anajua ataweza kuyatosheleza mahitaji ya mtoto wake including giving him/her a good trusted and realiable male fugure to look up to .Baba aliyesababisha mtoto azaliwe sio lazima...baba mlezi ndio lazima maana hapo ndipo majukumu yalipo.
Lack of father child relationship
Mimi sikatai mtoto kujifunza mazuri kutoka kwa role model wengine.
Kwanini wajomba na marafiki wamlee mtoto badala ya baba yake mzazi? Ngoja tuangalie upande wa pili wa shilingi, wewe unaona na heri shangazi, mama wa kambo au mama mdogo kumlea mtoto kuliko mama yake mzazi?
Hivi uwepo wa mtu unamaanisha moja kwa moja kwamba huyo mtu anafanya anachotakiwa kufanya???
Kwanzia mwanzo nilichokua naongelea (inawezekana hujakipata) ni kwamba uwepo wa baba mzazi kama hajishughulishi kwenye malezi ya mtoto ni sawa na bure. Uwepo tu (kama gogo/sanamu) hautoshi kutetea kwamba baba lazima awepo ili mtoto apate malezi apaswayo.
Na huo uhusiano kati ya baba mzazi asiyejishughulisha/hangaisha na mtoto wake na mtoto ni upi haswa??Nauliza maana I see none!!!
Hata mimi nilishakubaliana nawe kuwa kama sanamu ni sawa na bure ila haiondoi ukweli kuwa kasoro hii itaonekana kwa mtoto kwasababu mazazi hawezi kuwa replaceable na mjomba.
Yaani wakati mwingine na hisi nikutwangie skype ili tuwekane sawa maana inaonekana hatuelewani kwa maandishi.
Ni hivi Lizzy, kama baba mzazi hajishughulishi kwa mjinga wake baada ya kuzaa basi hiyo ni bahati mbaya lakini tendo ya mdada kujishikisha mimba huku fika akijua kuwa hana mpango wa kuishi na huyo mwanaume siyo sahihi.
Heheheh...sorry Chamoto ila bado napingana na wewe...mzazi/baba anaweza kuwa replaced na mwanaume mwingine anaeweza kumpa mtoto mapenzi na mahitaji anayohitaji toka kwa mwanaume...ndio maana kuna wazazi walezi na mjomba,mume wa mama wanaweza kuwa baba walezi.
Baada ya kusema hivyo sioni tatizo dada kujitafutia mtoto wake ikiwa anajua ataweza kumpa baba ....MLEZI.Ndio maana tangu mwanzo nimesema kama anajua ataweza kutimiza mahitaji yake(kimaisha na kimalezi) basi afanye hivyo...kama anabahatisha asifanya hivyo.
Heheheh...sorry Chamoto ila bado napingana na wewe...mzazi/baba anaweza kuwa replaced na mwanaume mwingine anaeweza kumpa mtoto mapenzi na mahitaji anayohitaji toka kwa mwanaume...ndio maana kuna wazazi walezi na mjomba,mume wa mama wanaweza kuwa baba walezi.
Baada ya kusema hivyo sioni tatizo dada kujitafutia mtoto wake ikiwa anajua ataweza kumpa baba ....MLEZI.Ndio maana tangu mwanzo nimesema kama anajua ataweza kutimiza mahitaji yake(kimaisha na kimalezi) basi afanye hivyo...kama anabahatisha asifanya hivyo.
kama unajua kuna huyo mwanaume mwingine anayeweza kutoa mapenzi ya dhati kwa mtoto ambaye si wake kwann usizvute subira ukazaa nae huyo mwanaume ili atoe hayo mapenzi ya dhati kwa manae wa damu
Nimechagua upande wa mama kwasababu mhusika hajataka kuhushisha baba mzazi wala ndugu zake.Nakusoma vizuri sana Lizzy naona umeweka maneno mjomba, mume wa mama yaani inaonesha uko bias sana na upande wa mama. Sijui ni kwanini lakini ni wazi huoni umuhimu wa upande wa mwanaume katika malezi iwe kwa baba mzazi au hata kwa ndugu zake.
Naona mojoki amenisaidia kukuelewesha