Nimeamka na homa kali

dos.2020

JF-Expert Member
Joined
Feb 17, 2009
Posts
14,163
Reaction score
11,825
Nimejaa na wasiwasi wakuu,

Jana jioni nilianza kama dalili za mafua leo asubuhi nimeamka na homa kabisa, ila mafua yapo kwa mbaali. moyo umetanda hofu kwa kweli
 
ukumbuke kuandika urithi
 
Pole hakuna kitu kibaya kama hofu
Kikohozi hauna bado ?

Kweli mkuu.

sina mkuu, ila dalili zipo mana koo ipo kavu kama nataka kufanya mafua ni kikohozi
 
Nimejaa na wasiwasi wakuu, Jana jioni nilianza kama dalili za mafua leo asubuhi nimeamka na homa kabisa, ila mafua yapo kwa mbaali. moyo umetanda hofu kwa kweli
Andaa hii kitu.... Kama maelekezo yalivyo kwenye clip. Then jiandae kwenda hospitali.
 

Attachments

  • VID-20200407-WA0002.mp4
    4.5 MB
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…