Nimeamini wanaume hawaaminiki

Mpe kidogo basi na ww, punguza uchoyo
 
Yaani magumu mno kama miwa ya kiangazi mdogo wangu😇
Mi ndiomana siyataki unajua uko peke yako kumbe mmepangwa piemu 😂😂😂😂
Na ukimkuta hamnazo shem wa bff ananyapia demu huku unamuona na wala hajali sio shida zake kabisaaa!! Ndio utajua hujui!!

Watu wangu wa karibu wote wameachika sijui itakuwaje?? Had coca kaachika naye 🤣🤣🤣
 
Siwezi kuingia
Labda uache kuonana naye kabisa, hata hapo kwake usiende. Kinyume na hapo kuna siku tu neno sikutegemea litatumika tena kama ambavyo hukutegemea kukutana naye uchochoroni.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…