Habari zenyuu wana j.f. Kichwa cha habari kinahusika. Takribani mwaka sasa umepita tangu nianze kushea maisha na huyu dada. Mimi napiga kibarua nimemaliza six. Lakini nipo 2nd yr university. Huyu dada amemaliza o level. Anapiga kibarua pia. Mkwanja wake na wangu tukijumlisha kwa mwezi unakidhi mahitaji mpaka bata.
Si ndiyo nikaamua kumshauri huyu dada areset paper japo apate credit za diploma. Mdada kakukbali na ameanza skuli tangu jan. Duh!!!!!!!!!!!! Najuta pale shule kakutana na mabishooo wana mikoko. Basi ndo kaanza dharau yaaani amejanjaruka huyoooo. Majibu yake anaonekana yupo tayari kwa lolote. Full time anaongea na simu. Imefikia najuta. Naomba msaada wa kimawazo. Pleas
Habari zenyuu wana j.f. Kichwa cha habari kinahusika. Takribani mwaka sasa umepita tangu nianze kushea maisha na huyu dada. Mimi napiga kibarua nimemaliza six. Lakini nipo 2nd yr university. Huyu dada amemaliza o level. Anapiga kibarua pia. Mkwanja wake na wangu tukijumlisha kwa mwezi unakidhi mahitaji mpaka bata.
Si ndiyo nikaamua kumshauri huyu dada areset paper japo apate credit za diploma. Mdada kakukbali na ameanza skuli tangu jan. Duh!!!!!!!!!!!! Najuta pale shule kakutana na mabishooo wana mikoko. Basi ndo kaanza dharau yaaani amejanjaruka huyoooo. Majibu yake anaonekana yupo tayari kwa lolote. Full time anaongea na simu. Imefikia najuta. Naomba msaada wa kimawazo. Please!

nasoma habari yako namfikiria mzee kifimbo cheza....samahani kwa hilo
MITHO mbona una hasira hivyo, me nakuhakikishia hizo credits atapata, kwako kaka Craig hongera ulichukua uamuzi mzuri kumfanya mwenzio apande kiwango, kana kwamba amebadilika hiyo isikupe shida we songa mbele aliye bora zaidi atapatikana ukiwa eneo sahihi na kwa wakati sahihi na sio sasa..Mungu sio binam yake nakwambia, hizo credit hapati ng'o!