Nimeamini kweli with age comes wisdom

Mukulu wa Bakulu

JF-Expert Member
Joined
Aug 12, 2014
Posts
4,050
Reaction score
12,968
Kuna msemo unasema with age comes wisdom but sometimes age comes alone.

Lakini utafiti wa hivi karbuni unasema age comes with wisdom.

Huu mwaka nimeingia 30 years old, soon naaza 31. Mambo niliyomua nayafanya hjko nyuma najikuta tu automatically siyafanyi.

I now respect women more than I used to be, na hii imekuja automatikale, sijui hata nimekuaje lakini naona haya ni matokeo ya kuongezeka umri.

Najikuta tu sasa hata natongoza hata single moms na nawatafuna kwa moyo mkunjufu kabisa, miaka michache iliyopita sikua hivi, nikishagundua mwanamke amezaa simtongozi kabisa.

Nimejikuta naanza kuona vitu vingi kwa jicho la tofauti, nimejikuta naanza iutambua kua vitu sio haviko kama vinavyoonekana kua.

Kweli umri unakuja na busara.
 
Ni kweli kabisa mleta mada,kuna muda unakuta unawaza tofauti na ulivokuwa zamani.Hapo ndipo utaanza waza kuwa na kiwanja,nyumba na kujenga family.Me nimekuelewa sn hali ulonayo kwn hata mie nipo stage hiyo.
 
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] unachekesha sana bwana mdogo
 
Yeah ts true with age comes wisdom bt kufanya sex hovyo hovyo isn't wisdom.
Soo kunakipindi pia utaona ku sex hovyo hovyo si busara,utatengeneza familia, yaaani uta oa na kutulia na mke wako.
Utatambua kuwatafuna single moms hovyo ni ujinga.
As U age.
 
Najikuta tu sasa hata natongoza hata single moms na nawatafuna kwa moyo mkunjufu kabisa, miaka michache iliyopita sikua hivi, nikishagundua mwanamke amezaa simtongozi kabisa.
mjombaa wisdom gani tena hiiii kwakweliii
 
Unachokisema ni kweli, bahati mbaya kwa sasa kwako age imekuja peke yake. Ukiacha kuparamia wanawake na kupunguza zinaa ujue age amemrudia wisdom alipomuacha na kurejea kwako wakiwa pamoja.
 
Mkuu Wisdom hiyo Vipi? mbona umetumia neno vibaya? umeanza vizuri mara ukaanza kuharibu,ebu tafuta mke uoe utulie ufurahie maisha ukiwa kama Baba ndio uanze Wisdom.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…