Sugua goti mungu atakupa mke haswa aliye kuandalia.
Hawa wanawake wa sasa wenye price tag??
Asugue labda apate hela
Katika hawa hawa kunawengine ni wifing material sasa aombe mungu ampe mke mwema ambaye atendana naye. Maana naona anachukuwa wale ambao si wake ndio maana wanamkimbia.
hivi hao wadada wa jf wanaolalamikiwa kila siku ni kina nani?Hawa wanawake wa sasa wenye price tag??
Asugue labda apate hela
hivi hao wadada wa jf wanaolalamikiwa kila siku ni kina nani?
mbona mimi sipati jameni mchumba huku? au mimi sio mzuri? au nimelogwa?
Hebu mwaga wasifu wako hapa, pengine tatizo unalo wewe na ukikaa nao muda mfupi tu wanakuwa washakufahamu na kuamua kukukimbiaNdugu wapendwa wa MMU, Nimeona niahirishe kuoa baada ya kukutana na wapenzi 2 humu jf tukakubaliana na suala zima la ndoa lakini mwisho wake wananitosa. Mmoja tulifikia hatua ya kwenda kutambulisha dakika za mwisho akaingia mitini. Wa pili tulifikia hatua ya kuonana tufahamiane baada ya kuafikiana kila kitu kwenye mawasiliano nae akazamia kusikojulikana. Haikuishia hapo, mwingine nikakutana nae kanisani tukaweka mambo sawa mwezi sasa umepita kakata mawasiliano. Anadai suala la kuolewa halipo tena kwenye akili yake. Kwangu mimi umri unasogea lakini nimeona tu bora niahirishe kuoa niendelee na maisha ya peke yangu kama kawaida kuliko kuendelea kudanganywa na hawa wanawake. Kama kuna ushauri nipeni waungwana.
Tatizo jingine AVATAR zenu ni tofauti na mlivyo.... MTU KAWEKA AVATAR KA YA Smile halafu mnapanga kuonana, unamwona mtu anafanana na avatar ya Ngalikihinja, unategemea nini? Mtu lazima atoke baru, akikuvumilia sana mwezihivi hao wadada wa jf wanaolalamikiwa kila siku ni kina nani?
mbona mimi sipati jameni mchumba huku? au mimi sio mzuri? au nimelogwa?
Tatizo jingine AVATAR zenu ni tofauti na mlivyo.... MTU KAWEKA AVATAR KA YA Smile halafu mnapanga kuonana, unamwona mtu anafanana na avatar ya Ngalikihinja, unategemea nini? Mtu lazima atoke baru, akikuvumilia sana mwezi
hebu wataje ? maana wengine tuna watu wetu huku unapogenerolize mambo unatufanya tuonekane vibaya! au mnataka niachwe?
shida ni nini......? au una mkono birika.....?
Miliki hela, vyote utavipata, hata ukimtaka malkia elizabeti