BlackPanther
JF-Expert Member
- Nov 25, 2015
- 9,554
- 9,238
Yaani kwanza mi mtu akishaanza izo mambo sijui umekula nini, unafanya nini mara sijui njoo nikulishe bla bla za ivo nachefukwa chap kwa haraka
Ukiona binadamu ambae hana huruma wala haofii chochote kile aogopi kuons meenzake anaumia muogope sana...
ametumia njia ya kistaarabu kukwambia huna hela.... bro tafuta helaHello Jf.
Nimeachwa na katoto flani kazuri kisa siko romantic.
Hivi kuwa romantic ndio kuwa namna gani?View attachment 1724217
Muhimu upate mwanamume anaekupenda, mwema, alietulia, alie karibu na Mungu wake, huyo ndie mwanaume haswaa. Hayo ya romantic sijui nini huwa mnayaokotea wapi lakini, mbona hayaendani na waafrika!! Wanawake wa sasa mnavituko mjuwe, na mnapenda kuiga iga tamaduni za nje! Mabinti wa sasa sio kama wa zamani walikua wakiishi kwa upendo na amani, na walidumu kweni ndoa zao. Na ukiangalia asilimia kubwa ya wasichana wa siku hizi huachwa sababu ya midomo, ujuaji n.k. Munatabu kweli kweli ninyi wakina dada.
Wakina dada, Ombeni sana mupate wanamume wema, waliotulia na walio karibu na Mungu.
kwa wakina kaka, Ombeni sana mupate wanawake wema, waliotulia na walio karibu na Mungu.

Safi sana baharia ulivomkalia kimya umemuonesha kuwa bila yeye maisha yanaweza kusonga tu ndio maana akajirud...
Unajua ya kwamba unaweza pata mwanaume/mwanamke mwema, katulia lakini hakupendi? What if akawa mwema huko nje kwako akawa mwiba?
By the way kila mtu ana mahitaji yake ni vema unapoomba kwa imani yako mueleze Mungu mwanamke/mwanaume unayemtaka bila kupindisha
Wewe mwanamke huwa unanifurahisha sana.Kuna wanaojua kuwa romantic ni ile mvua ya mameseji, uko wapi, umekula nini, unafanya,nini umevaa nini....maneenah kabisa!
Sijavaa kitu, nimejigeuza firigisi ngozi ndani nyama nje.
Nichambe koo sio hahahaWewe mwanamke huwa unanifurahisha sana.
Yaani upo ki-gangstar zaidi, hebu sogea kwa wakala unipe namba ya wakala ukapoze koo kwanza
hahahhhahahahaNichambe koo sio hahaha
Waiterrr lete kama nilivyooo, Heineken 3 zinazovuja jasho tahadhali... bill kwa kaka angu Relief!!!hahahhhahahaha
Kabisaaa, fanya hivyo sasa kabla sijapotea hewani. Bad girl gone good!
Nilipokuwa o'level tulikuwa na bad girl darasani tukimuita Beka. E.Bakari mwenyewe akijiita Beka
Huna HELA hiyo romatic imechomekewa tu.Hello Jf.
Nimeachwa na katoto flani kazuri kisa siko romantic.
Hivi kuwa romantic ndio kuwa namna gani?View attachment 1724217
For the record Jeff Bezos aliachana na mkewe, Elon Musk aliachana na mpenzi wake wa mwanzo, Two richest men in the world right now. Boss Roman Abramovich na visima vyake alitaka kuachwa na mkewe ila akabembeleza sana baada ya kusikia wanagawana mali. Njoo Bongo Reginald Mengi aliachana na mkewe. Zari aliachana na Ivan. Mifano ni mingi mno hao ni watu maarufu 2. Kwahyo allow me to say kusema mapenzi pesa ni ulimbukeni unless umaanishe mapenzi biashara. Infact I have got money to afford many women in Tanzania that's why nlichangia vile.Tafuta Mapene.... Acha Kelele.
Nimecheka sanaKuna wanaojua kuwa romantic ni ile mvua ya mameseji, uko wapi, umekula nini, unafanya,nini umevaa nini....maneenah kabisa!
Sijavaa kitu, nimejigeuza firigisi ngozi ndani nyama nje.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Sio kosa lako mkuu. Huwa nasemaga siku zote "Ukiwa na njaa huwezi kuwa romantic"
Angalau atafarijikaPole mwaya😄😄