Mkuu naomba uwe unatupa updates ya maisha mapyaNimefanya kazi katika kampuni hii kwa miaka minne kama afisa manunuzi. Kutokana na ugumu wa soko, ikabidi team ya "sales" iongezewe nguvu na ndipo watu kutoka vitengo vingine ikabidi tuhamishiwe kitengo hiki.
Kwa wasiojua, Sales Officer kazi yake ni kutafuta wateja wa bidhaa za kampuni.
Katika maisha yangu, nilipanga mwaka 2020 haitavuka lazima nitaacha kazi na kujikita kwenye kujiajiri kwa asilimia mia. Hivyo tayari nilikuwa najiwekea akiba na pia nilishaanza kufanya biashara yangu.
Kwanini nimeacha kabla haijafika 2020? Ni kwa sababu nimehamishiwa kitengo cha Sales. Nimeona si akili kutafuta wateja kwaajili ya kampuni kuanzia asubuhi mpaka jioni wakati namimi nina biashara yangu natakiwa kutafuta wateja.
Hivyo, nitatumia muda ambao nilikuwa natakiwa kutafuta wateja wa kampuni kutafuta wateja wa biashara yangu. Najua sio rahisi lakini nitaweza.
Usipotaka kujiajiri kutimiza ndoto zako basi utaajiriwa kutimiza ndoto za wanaume wenzio. Usiku mwema
12/12/2018, 09:12 Pm
Mimi nadhan ccm na serikali yake ndio watampinga kwa kumuwekea makodi yasiyoeleweka..Chadema watakupinga vibaya sana
Nimefanya kazi katika kampuni hii kwa miaka minne kama afisa manunuzi. Kutokana na ugumu wa soko, ikabidi team ya "sales" iongezewe nguvu na ndipo watu kutoka vitengo vingine ikabidi tuhamishiwe kitengo hiki.
Kwa wasiojua, Sales Officer kazi yake ni kutafuta wateja wa bidhaa za kampuni.
Katika maisha yangu, nilipanga mwaka 2020 haitavuka lazima nitaacha kazi na kujikita kwenye kujiajiri kwa asilimia mia. Hivyo tayari nilikuwa najiwekea akiba na pia nilishaanza kufanya biashara yangu.
Kwanini nimeacha kabla haijafika 2020? Ni kwa sababu nimehamishiwa kitengo cha Sales. Nimeona si akili kutafuta wateja kwaajili ya kampuni kuanzia asubuhi mpaka jioni wakati namimi nina biashara yangu natakiwa kutafuta wateja.
Hivyo, nitatumia muda ambao nilikuwa natakiwa kutafuta wateja wa kampuni kutafuta wateja wa biashara yangu. Najua sio rahisi lakini nitaweza.
Usipotaka kujiajiri kutimiza ndoto zako basi utaajiriwa kutimiza ndoto za wanaume wenzio. Usiku mwema
12/12/2018, 09:12 Pm
Hongera. Ila huku si lelemama kama wengi wanavyoshadadia humu!Nimefanya kazi katika kampuni hii kwa miaka minne kama afisa manunuzi. Kutokana na ugumu wa soko, ikabidi team ya "sales" iongezewe nguvu na ndipo watu kutoka vitengo vingine ikabidi tuhamishiwe kitengo hiki.
Kwa wasiojua, Sales Officer kazi yake ni kutafuta wateja wa bidhaa za kampuni.
Katika maisha yangu, nilipanga mwaka 2020 haitavuka lazima nitaacha kazi na kujikita kwenye kujiajiri kwa asilimia mia. Hivyo tayari nilikuwa najiwekea akiba na pia nilishaanza kufanya biashara yangu.
Kwanini nimeacha kabla haijafika 2020? Ni kwa sababu nimehamishiwa kitengo cha Sales. Nimeona si akili kutafuta wateja kwaajili ya kampuni kuanzia asubuhi mpaka jioni wakati namimi nina biashara yangu natakiwa kutafuta wateja.
Hivyo, nitatumia muda ambao nilikuwa natakiwa kutafuta wateja wa kampuni kutafuta wateja wa biashara yangu. Najua sio rahisi lakini nitaweza.
Usipotaka kujiajiri kutimiza ndoto zako basi utaajiriwa kutimiza ndoto za wanaume wenzio. Usiku mwema
12/12/2018, 09:12 Pm
Umeongea point sana mkuu.... usawa huu ni kujilipua tu either utoboe ufike kilele cha mafanikio au ushindwe but not staying in between....Umefanyaa maamuzi magumu na mazuri piaa, kuajiliwa na kuolewa vinatofautiana kdg tu.
Kwan kuna tofauti gani kati ya Mshahara na Mahali? Au kusubiria majibu ya barua ya App na kusubiria uletewe barua ya posa?
Asalaaale njemba zinaolewa bila kujijuaa,
Hahaa TUCTA OYEEEE?
CCM OYEEEE?
25% OYEEE?
Shaaaabash tutakutana either kileleni au bondeni, hamna kubak katikati shwain kbsa, asahv kusurvive ni vitu viwili tu vinahtajka, either utumie ubongo au utumie ulimi, namaanisha uwe smart sana kichwani au uwe mnafk kiwango cha lami mdomoni
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Chadema watakupinga vibaya sana
Unaweza kuacha kula?
Utasimamia biashara na punyeto utapiga SAA ngapiUnaweza kuacha kula?
Eti eeeh!...?kweli kabisa
Haha hahaaa.... haki ya nani naongeza sana siku za kuishi tokana na hizi jumbe zenu Wapendwa.Kika mahali unatia siasa. Achaga upumbav basi. Hii si sehem ya siasa.
Hongera na kila la Kheri!Nimefanya kazi katika kampuni hii kwa miaka minne kama afisa manunuzi. Kutokana na ugumu wa soko, ikabidi team ya "sales" iongezewe nguvu na ndipo watu kutoka vitengo vingine ikabidi tuhamishiwe kitengo hiki.