Da'Vinci unapomkosea mtu na unamuomba msamaha maana yake hutakiwi kurudia
Naona notification yako mimi sijui nini ulichotuma hivyo nafungua kujua ni nini
Nakutana na kitu kinachoniogopesha sio mara 1 wala 2 unanifanyia hivi kama nina pressure huoni unaweza kuniua?
Au nikuignore nisiwe naona quotes zako kwangu.
Siku ile nilikuambia ukasema hutorudia lkn leo mara ya pili unafanya tena
Sio sawa mimi sijapenda