ππ alikuwa mzito nini? Au tu uvivu.. kuna ule mwendo wa kurusha miguu usawa wa kifua sjui vileβ ulinisumbua pia, nikawa nanga, ila sio nanga pro max.

Ila na wewe si utulie usome vizuri,,,hapo ameandika wimbo "jua lile literemke mama,aiya iya iya mama"ndio nilichogundua nilivyorudia mara tatu kusomaπ π π

Form six gani Hiace anaita Hiance? Halafu wewe huu uandishi wako ushaharibiwa. Hakuna kitu umebaki nacho. Ndo maana mzee wako alitaka uende jeshini ukakaze misuli ya matako. Umeshalegea sana. Mwanaume hawezi omba saidiwa na mwanamke na hawezi lia eti anamwita mama yake. Wewe ni takataka. Ondoka hapa na uzi wako.
Kwa jinsi nilivyosoma uzi wake mpaka hapa unacomment huyu sio mwanaume ni mwanamke! Soma vizuri mkuu, hadi anasema Kuna mwanajeshi wa kike aliyemuonea huruma wanafanana majina.